noti ya sh 10/= na sh 20/=
Hizi Kalenda ya BOT 2010 waliweka karibu zote na hadi leo sijaibandua kwenye Ukuta
Umenikumbusha mbali mkuu! Kizazi cha Lulu nadhani wanashangaa kuona noti za zamani za Sh. 10, 20, 50, 100, 200 nk!
those good days,nakumbuka x-mas moja nilipewa tsh 10 ya sikukuu nikatumia sent ishirini kupanda mkokoteni wa punda nyingine nilikunywa soda sh 6 na chenji kibaao zilibaki nikatesa nazo saana mitaa ya mabembeani library-tanga.
Hii juzi tu mkuu