Tuliowahi kusomesha Wachumba na hatujawaoa. Tukutane hapa

Inahitaji moyo wa ujasiri sana kumsomesha mwanamke mliekutana ukubwani, by the way umewekeza pia ili siku ukiwa haupo duniani basi mama yake anaweza kumtunza mtoto vizuri.
 
Ni swali tu
IMG-20191023-WA0004.jpeg
 
Ninakumbuka tukiwa O level kuna bint mmoja mzuri sana alikuwa anasomeshwa na boyfriend wake.

Yule kaka kila Jumamosi alikuwa analeta makulaji, mkate wa Arusha, juice, matunda na kuku wa kukaanga.

Sijui walioana.
Wa hivyo hakuna wanaooana. Mwanamke aliesomeshwa,lazima amuone aliyemsomesha boya,chuo anapata wa leval yake. Na hakuna demu mtamu kumgegeda kama anaesomeshwa na fala mmoja huko. Unapomgegeda unamuuliza nani anakusomesha. John. Nani?. John. Anaitwa nani?. Johniiiii. Unapomalizia unatamka kabisa ***amae
 
Dah watu mna roho ngumu unamsomesha mtu ambaye hata mahar hujatoa na hapo ukute mdogo wako anaangaikia ada.
Wapo waliosomeshwa na waume zao wa ndoa wakahudumiwa kila kitu lakini baada ya chuo ndani ya miezi 6 unaskia flani anafunga ndoa tena
 
Back
Top Bottom