Thesis
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 1,805
- 3,086
Ni kweli. Hata tatizo la umaskini Tanzania ni la watanzania wenyewe kwa ujumla wetu hatujakomboka kifikra. Hata ombaomba wa barabarani walio wengi tatizo sio umasikini bali tatizo ni kukata tamaa. Miongoni mwa mambo mabaya kabisa hapa duniani ni kukata tamaa ya kutafuta riziki.Unaweza kudhan matatizo ya watu wengine yanasababishwa na watu kumbe tunakosea kuamin hvyo,matatizo yanasababishwa na ww mwenyewe.