Niaje niaje
Turudi kwenye mada kuu kuna siku moja Mimi na aliyekuwa demu wangu tulienda zetu Coco kupunga hewa sasa bana sijui shetani kijicho chongo alipita wapi akatuona kuja kucheki Gogo liko wima kama miguu ya ngongoti.
Nikasema sasa hapa ndio penyewe kukamua maziwa maana mtoto alikuwa mweupe balaa. kumbe Bana kuna wakuda wako chobingo wanakula deo ili tuanze wafanye yao Ile nimemvua tu demu suruali yake maana ilikuwa Modo zile za kubana natafuta uchochoro wa kuandika na peni yenye wino wa maziwa wajuba hawa hapa. Mzee mzima nilikuwa sijavua kitu niliitoa tu nje SMG yangu.
Ilikuwa purukushani balaa sema demu aliwai kuvaa suruali yake fasta maana nilikuwa nimemshusha kidogo Tu........🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yule boya uku na kule akawa kanitia Pingu afu ajui twende wapi maana aliniuliza una kaa wapi nikamwambia Mimi mtoto wa polisi tena mkubwa tu alishtuka kinyama wakati alishasema yeye polisi, ikabidi aniombe mtonyo nikamwambia sina akasema toa chochote ulichokuwa nacho mfukoni.
Nikampa buku mbili huyo akatuachia zake SASA nawaza sijui waligawanaje maaana waalikuwa kama sita wakati wanatuvamia pale.
Tokea siku Ile sijarudi tena Coco nakuonaga kuko kishamba sana. Sijui wenzangu mliowahi kudabwa kama Mimi?