TULIOWAHI KUCHEAT/KUSALITI WAPENZI WETU KWA MICHEPUKO TUKUTANE HAPA;

Nakumbuka kuna siku moja nikasema leo ngoja niblock michepuko yote nikakutane na mainchick (maana alikuaga mtata uyo) bc siku iyo niko nae hotelini nikaingia chooni kidogo simu yng ikaonesha notification kua kuna namba ambayo imeblockiwa ilikua inapiga...yule mainchick machale yakamacheza akachukua ile namba akaisave kwake halafu akamtext kua ‘Acha kumsumbua mume wangu’ bc ule mchepuko ata haukupanick ukajibu kwa upole kua hauna uhusiano wowote na mimi bali ni marafiki tu....Aise nilikaa nikawaza mara mbili mbili imekuaje mchepuko umejishusha namna ile...lakini bade mchepuko ukaja kuniandikia waraka wa malalamiko na majonzi Facebook
 
hahaaa manina ..mnapata dhambi mjue ..halafu main chick nae akiuza mechi mnaanza kulialia
Hamna kulia ujue mechi za nje ni nzuri sababu zinaongeza experience ukirud kucheza za ndani sasa ndani utakuta kifo cha mdudu daily nje unapiga samba solt hadi unasimamia vidole hiyo experience unaileta ndan lazima uvunje mtu mgongo
 
hahaaaaa aiseeee
nakubaliana nawewe halafu unapokuwa guru wa kucheza sana hiyo michezo ndio unakuwa waijulia vyema
 
Nilichepuka na mwanachuo mwenzangu enz hzo... Nlimwambia wife akanidai faida ya kuchepuka nikakosa. Mpaka leo npo njia kuu...
 
Back
Top Bottom