Tuliosoma nje ya nchi tunanyanyapaliwa sana

Pengine kweli huna sifa haiwezekani watu ofc nzima wakuchukie eti hr na CEO wakuchukie kiss umesoma nnje na wakuchukie ili walinse maslai ya watanzani Happ nimeona kuna tatizo fln either una vyeti venye magumashi au huna tahaluma inayo takiwa pale kazi
Daaah. Yaani ume conclude kirahisi namna hiyo?
 
Pole mkuu.
Mimi nimesoma undergraduate hapa Tz na Post Graduates Ulaya, USA nk.

TCU inajitutumuwa kuwa inasimamia ubora wa Vyuo lakini ukiwauliza kuanzia software hadi hardware zote zimetoka Ulaya au China. PhD zimejaa TCU lakini zote waligoogle madesa ya Wazungu, siku Google wakiamua kuwanyima access za madesa ndiyo itakuwa mwisho wa kupata PhD na MSc hapa Tanzania.

Ninaomba huu uzi itrend mpaka Rais Aione na kuchukuwa hatua.

TCU badilikeni, mlifunga vyuo vingi vya private kijinga ili kumfurahisha mwenda zake, jifunzeni kwa nchi kama Nigeria kila nchi duniani 60 to 70% ni Nijeria/Kenyans.

On a serious note!

Diaspora wanachangia technology transfer from Europe to Sub Saharan Africa.

China walifunza Ulaya leo ni ya pili duniani
South Korea ilikuwa kama Tz miaka ya 1961 leo hii ni 14 kwa technolojia na maendeleo duniani

India ilikuwa third world miaka 1974 leo hii wameingia 20 bora.

Ofisi za serikali zimebaki magofu, kazi kujaza Vote 4 na kuomba masurufu, mafaili ya khaki kama za mashtaka mahakama ya Mwanzo Naliendele.
Badilikeni, waonyesheni upendo kwa vijana waliosoma nje ya nchi wana mengi ya kuwasaidia ili kupromote diversity, innovations, and technology transfer to farmers and SMEs, etc.
Kama umesoma nje nikuhsauri hapa bongo fungua kampuni yako tu kama una capital ya kutosha kama huna rudi nje ulaya marekani .... ukafanye kazi hata kama sio professional yako itakulipa vizuri kuliko bongo, save pesa uwekeze... hapa bongo kama huna ajira ya mshahara mzuri, meadi au biashara ... ni mwendo wa rat race tu, mbio za sakafuni
 
Yani kuna watu wengine ni hopeless sana ukipata nafasi ya kusoma nje hutakiwi kufanya kazi ya serikali unatakiwa hata ukapige kazi nchi za watu huko kama ni South Africa, USA au Europe ule mema ya dunia sasa umesoma huko kote unakuja kuhagaika na ajira portal haijalishi umelipiwa ada na mzazi au umekua sponsored
Very big mistake
 
Wana USHAMBA TU, ni kama wanavyobania Uraia pacha, kupata VISA ya kusafiria au kujiunga na Paypal

Yaani Tanzania bado kuna ushamba flani kwa viongozi wake.
 
Vile hamkuamini elimu ya bongo ndo hivyo hivyo mkirudi hawaamini.

Sawa hata uende nje ukasome kitu cha maana isiwe kama yule msanii amempeleka binti yake kusoma accounts nje.

Akirudi japo vita imemrudisha ndo hivyo hivyo tena
 
Nje gani unayoizungumzia wewe? Uganda au? Kama uganda lazima tukuthibitishe mzee maguashi mengi mno, pia mnatabia ya kwenda ulaya halafu mnasoma amazon koleji za huko ulaya sàa kwanini tusikuhakiki? Ila kama umesoma vyuo vya ukweli halafu unarudi tz na kulilia ajira za gvt lazima tukupime mkojo mzee maana kwa eksipozzya uliyoipata huko bado unataka kulilia hizi ajira za kusubiri mei mosi mkuu wa nchi atasemaje kuhusu mshahara utakuwa na matatizo sio bure
Serikali inapeleka watu huko na kulipa Ada na matumizi yao, ikitegemea kupata wataalamu wanapohitimu. Inawatumia ticket ili warudi. Wewe unaongea nini?
 
Sidhani kama ni kweli, nimewahi kubahatika kuwa kwenye interview Panel kwenye kampuni fulani. Moja ya vitu vilini disappoint ni candidates waliosoma nje. Hat vitu basic walikuwa hawavielewi. Nahisi pengine lugha waliotumia kusomea ilikuwa inawapa shida sana.

Au mimi ndio nilikuwa na tatizo. Lakini je ndio iwe panel nzima?
Itakuwa interviewer wote mmesomea bongo na mlikuwa mnauliza vitu vinavyohusiana na bongo kwa experience mliyoipata vyuoni kwenu na kwenye jamii. Sasa huyo interviewee aliyetoka advance kaenda kusoma nje atajuaje vitu hivyo? Labda kama ingekua ni technical questions. Mimi nimewahi shuhudia mtu aliyesoma Australia anakua disqualified kwakutokujua misamiati mingi ya fani yake kwa kiswahili eti kwasabu anaenda kufanya kazi na jamii ambayo haijui kingereza. Walikuwa wanampiga maswali kwa kiswahili.
 
Sasa mtu amesoma hapa bongo chuo sijui kinaitwa Teofilo kisanji University Mara Eckenford Tanga university na eti bado anamuona mtu aliyesoma Coventry University Ni kilaza.Ni kawaida ya wanyonge hio.
Kama huyu wa coventry university anagombania ajira moja na wa ekenford lazima huyu wa uk tumuone kilaza tu
 
Nahisi na wewe ni wale wale mnaochukia wenzenu kusoma nje,

kaangalie tena China wameanza kufanya English kama lugha ya kufundishia (compursory) huku level za chini kuanzia 2003, sasa watakua wajinga kama watafundisha level za chini kwa English then Vyuoni wafundishe Mandarin...

nchi kuwa na mfumo mzuri wa elimu, foreigners wanapata sana admission kwenye vyuo vizuri kwenye hizo nchi zenye mfumo mzuri sababu foregners wanalipa international fee ambayo inachangia sana mfuko wa chuo husika na nchi, kwa hio kusema kwako foreigners hawapati vyuo vizuri si sahihi....

Mwisho, Engineering,IT,Biashara zote zinaweza ku fall kwenye 'Technology'
Sasa mkuu kama mimi na CBG yangu na shahada yangu ya kilimo hapo morogoro, hilo neno hapo juu nimelikoleza rangi ni compulsory na siyo compursory kama ulivyoandika wewe.

Sina budi kusema kuwa uhakiki uendelee kwa sababu kuna mapungufu kwa baadhi yenu.

Vipi kozi yako inakubali kuomba kazi hapo ajira portal?
 
Itakuwa interviewer wote mmesomea bongo na mlikuwa mnauliza vitu vinavyohusiana na bongo kwa experience mliyoipata vyuoni kwenu na kwenye jamii. Sasa huyo interviewee aliyetoka advance kaenda kusoma nje atajuaje vitu hivyo? Labda kama ingekua ni technical questions. Mimi nimewahi shuhudia mtu anakua disqualified kwakutokujua misamiati mingi ya fani yake kwa kiswahili eti kwasabu anaenda kufanya kazi na jamii ambayo haijui kingereza. Walikuwa wanampiga maswali kwa kiswahili
Walimuonea
 
Habari za asubuhi.

Somo tajwa hapo juu lahusika.

Sisi tuliosoma nje ya nchi tukirudi Tanzania kwenye taasisi za serikali tunanyanyapaliwa sana. Suluba inaanzia hapa:

Kwanza tunaambiwa tukavithibitishe vyeti vyetu TCU. Tukifika TCU usumbufu tunaopata pale ni mkubwa sana!
Unaambiwa upeleke ushahidi kwamba ni kweli ulikwenda nje ya nchi. Wanataka visa yako ioneshe ni student visa wakati unaondoka. Pia uoneshe sehemu ya passport ulivoondoka na ulovyofika kule yaani uoneshe sehemu iliyogongwa muhuri.

Hayo si issue sana maana mwisho unatakiwa ulipie.

Kubwa ni lile unapofanya kazi wakubwa hawakupi kipaumbele wala kuthamini elimu yako. Wanakuona ni adui na unajifanya mjuaji.

Linapokuja suala la promotion utasugua benchi mpaka utajuta kwa nini ulikwenda kusoma nje ya nchi.

Waliosoma hapa nchini utawaona wanapeta tu na maisha yao yanaenda vizuri. Vyeo wanapewa mpaka unashangaa mtu kapataje maana uwezo wa kiuongozi au kiufundi unamzidi kwa kila kitu.

Kwa kweli hali hii inatuumiza sana.
Je ni kosa kusoma nje ya nchi?
Hii ni nchi ya wakulima na wafanyakazi, si ya MATAJIRI......hahahaha.....natania mwaya! But kuna ujumbe katika mwenendo huo. Pengine ni namna ya kudiscourage kupeleka hela nje kutafuta elimu kwa fani zinazofundishwa hapa hapa.

All in all, sio fair. Mtu atendewe sawa na uwezo wake. Hizi kona zinatugawa na kutufarakanisha!
 
Nje gani unayoizungumzia wewe? Uganda au? Kama uganda lazima tukuthibitishe mzee maguashi mengi mno, pia mnatabia ya kwenda ulaya halafu mnasoma amazon koleji za huko ulaya sàa kwanini tusikuhakiki? Ila kama umesoma vyuo vya ukweli halafu unarudi tz na kulilia ajira za gvt lazima tukupime mkojo mzee maana kwa eksipozzya uliyoipata huko bado unataka kulilia hizi ajira za kusubiri mei mosi mkuu wa nchi atasemaje kuhusu mshahara utakuwa na matatizo sio bure
Akina Prof Lipumba et al
 
Mtoa Mada Malyenge,huko nje ya Nchi ulikosoma ni wapi, lini na Course gani ulisoma!!na hakuna urasimu wowote ku-verify Vyeti TCU acha kudanganya watu hapa,TCU wanachotaka ni kuangalia kama Chuo ulichosoma kinatambuliwa na Serikali husika au ni Chuo cha mfukoni,mimi mwenyewe nime-verify Vyeti vyangu bila shida mwezi uliopita tu na TCU wamenipa verification letter!!hapa TRA hatuhitaji Vyeti vya kimagumashi kama vyako,na kama ulishindwa kusoma ukiwa kijana acha uhuni kutafuta vi-course vya kimagumashi kwenye Vyuo vya uchochoroni nje ya Nchi ukitegemea tukupandishe Cheo au kukuongezea Mshahara,fuata taratibu acha janjajanja na uhuni!!!na kwa umri wako inatakiwa uwe umestaafu Utumishi wa Umma maana ninakufahamu vizuri sana,acha kuichafua TRA kwamba inakunyanyapaa wakati huna sifa ya kupandishwa Cheo kutokana na Chuo cha kichochoroni ulicholeta Cheti chake ukidai umesoma
Ukibisha naweka majina yako kamili,Cheo chako hapa TRA na muda uliokaa na hiko Cheo kutokana na Elimu finyu,Cheti ulicholeta ukidai umesoma nje ya nchi na umri wako,staafu kwa amani acha kuichafua TRA na Idara za Serikali kwa ujumla
Haya sasa mwanakulitafuta
 
Kasome nje uje ujiajiri, ukitegemea kuajiriwa nakuhakikishia hata cv yako iwazidi watu wote walioitwa kwenye usaili watakuacha wakihofia utawaletea kero ya ujuaji. Bongo haijawahi kuwa serious kwenye mambo ya ufanisi na utaalamu.
Tena wakiona jina lako wanachefukwa , hasa itokee boss mwenyewe kapiga sijui Tumaini au St. nini na wewe umeshuka kutoka State au hata hapo Europe na degree zako.. mzee labda awe ndugu yako au Kampuni ya watu wenye akili timamu.
Lazima wakutolee nje mana wanahofia vyeo vyao utakuja kuvichukua waanze kukuita boss wakati wao ndio wanajiona maboss
 
Back
Top Bottom