Tuliomaliza chuo 2015-2020 bila ajira mpaka Sasa tukutane hapa

Matokeo ya UTITIRI WA VYUO! zamani chuo kikuu kimoja UDSM ajira lazma upate, hata form 4 lazma upate ajira siyo lazma kila mtu asome hadi chuo, mwisho iwe form 4 wanaondelea mbele wawe wachache na vipanga sana,. Matokeo yake vijana wapo tayari kufumuliwa marinda wapate ajira au vyeo, Elimu imeshuka thamani kama sarafu ya Zimbabwe.
Duu umeongea sana
 
Ukitaka kujua kuwa walioajiliwa Wana Hali mbaya , Jiajiri na mambo yako yakunyokee ndio utajua kuajiriwa ni utumwa . Lakini tusioajiriwa tukiwa kwenye hustler za kujiajiri , walioajiliwa wanajidai wakidhani ndiyo wamewine maisha . TUENDELEE KUHUSTLER ONE DAY YES
mishe zimekunyookea mkuu
 
Back
Top Bottom