Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

Anafanyiwa mizengwe na nani?
Ulitaka ichapishwe fomu moja tu ya Urais apewe kama huki ?
Hili jukwaa sijui limekuwaje,mbona wapuuzi wapo wengi ambao hawa fuatilii hata vyombo vya habari vya kimataifa, hivi unazifuatilia kesi anazo funguliwa jamaa?

Mida hii ya jioni DW Kiswahili wamechambua ushindi wake ktk jimbo la IOWA na wakamwalika mchambuzi wa maswala ya kimataifa na akaelezea vigingi anavyo vipitia Trump.

Unaleta siasa zako za kipuuzi za kwenu huku,sasa form moja hapa imefuata nini?
 
Sasa mzungu tajiri kufunguliwa kesi Marekani ni mizengwe??
Kwani hii ni mara ya kwanza Trump kufungiliwa kesi ? Hujawahi kusikia kesi za utapeli za Trump University hata kabla hajawa Rais ambapo alilipa mamilioni ya fidia??
 
Sasa unazungumzia za zamani, mimi na zungumzia za sasa au hiyo kesi yake ya zamani inaendelea mpaka sasa baada ya kulipa hayo mamilioni?
 
Ulitaka afunguliwe kesi za kuiba maboksi ya nyaraka za siri za usalama wa Taifa na kwenda nazo nyumbani kwake na kuingilia maafisa wa uchaguzi wa majimbo kuvuruga uchaguzi lini?? Kabla hajawa Rais??
 
Waliprove hilo? Sasa mbona mpaka sasa anagombea nafasi nyeti kama hiyo ya kuwakilisha chama chake kwenye kiti cha Urais?

Yaani ithibitike umeiba nyaraka nyeti then uruhusiwe kushiriki kwenye kinyang'anyiro cha Urais,hiyo sio US ninayo ijua mimi.
 
Sidhani kama uko sawa upstairs.
Mimi siiongelei America unayoijua wewe, naiongolea America halisi ambayo mtu amekutwa na maboksi ya siri za Usalama wa Taifa nyumbani kwake na akakiri ni kweli alichukua na anang'ang'ania ana haki hiyo!
 
Wewe ndiye haupo sawa,yaani uibe nyaraka za siri halafu CIA wanakutizama.
Huko Marekani kuna mamilioni ya watu kama wewe wanaompenda na kumkubali Trump mara million zaidi ya wewe unavyomkubali na wako tayari hata kuichoma moto nchi yao Trump akiguswa kwa namna yoyote ile, mara ya mwisho walimfuata bungeni kutaka kumtundika kitanzani makamu wao wa Rais wa Trump, Pence aliposema hawezi kuacha kuthibitisha ushindi wa Biden bungeni kwa matakwa ya Trump.
 
Hata uwe na watu milion ngapi wanao kukubali, ila kitendo cha kuiba nyaraka za siri za Serikali hakivumiliki na taifa lolote lile duniani. Kuna vitu viwili vinalindwa na taifa lolote dunia ni Maslahi na Usalama wa taifa,ukihatarisha hivyo vitu viwili wako tayari hata kutoa uhai ili mradi taifa libaki salama na maslahi yale yasi haribike.

Sasa ww ulivyo sena kaiba nyaraka za taifa,ila still bado yupo kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais nimekushangaa.Hapo ndipo ujue hata hizi tuhuma wanazo mtuhumu ni za uongo.
 
Back
Top Bottom