Tulimuhitaji zaidi Makamba ili kukuza Upinzani

Kombo

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
1,812
509
Wakubwa,
Hatimaye Makamba ndo hivyo tena kapitiwa na mkumbo wa mageuzi ndani ya CCM, Ninawasikitikia wale wote ambao maisha yao ndani ya Chama hicho yalitegemea kuwapo kwake. Tufikirie hatima ya upinzani hawa jamaa wakijipanga vizuri, na yale mafyongo ya enzi za Makamba yakakosekana, tutawawezaa???? Tuache unazi hapa!
 
Kaka ni kweli kabisa uyasemayo uropokaji wa makamba bila kufikiri ulikuwa mtaji mkubwa sana kwa wapinzani sasa makamba ndo huyo tena ametemwa. Ila tuwe na matumaini na kauli ya mbowe kwamba ccm ina kansa na tayari kansa imefika kwenye damu. Lakini zaidi ya hayo CCM bado ina madudu mengi sana ambayo wapinzani bado wanaweza kuyazungumzia. Kujihudhuru kwa secretaria na cc sio suluhisho la matatizo ya watanzania.
 
sasa kwani nnape ana tofauti gani na makamba mi naona sawa tu
 
Mimi sioni jipya hapo....ni kweli najua huyu katibu wa sasa hatakuwa makini asiaribu kama Makamba....but naona bado Gamba alijatoka vyema....tatizo la CCM si CC wala NEC but ufisadi na mafisadi amabao sidhani kama wamewatoa.....
 
ni heri makamba mara 100 kuliko huyu......yaani hapa wapinzani wamepata mteremko sana.....mark this post meeeeen
 
Back
Top Bottom