Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
MTOTO WA DC kama ushauri wako ni huu endelea kuwa msomaji tuu na waka usiwe mchangiaji maana wewe ni wale wale wa kusema kuwa unaweza kumpata mwanamke yoyote na ukamgegeda the way unavyotaka na kumtosa at your will and at any time bila hata kujali kama yeye nae ni binadam kama wewe
Huo ushauri unaotaka kumpa ni kama wa nguvu za giza wa kutengenezewa kesi na hiyo jiweke wewe ndo unatengenezewa mazingira hayo au dada yako au mdogo wako au mtoto wako
Dhamira siku nyingine inauma sana
NAOMBA HII IWE POST YAKO YA KWANZA NA YA MWISHO NA UENDELEE TU KUWA MEMBER WA KUSOMA COMMENTS! :yuck:Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile
NewOrder kuna mambo tunayafanya wakati mwingine tunaonekana kama wendawazimu maana hayaendani na kile ambacho tulipaswa kufanya. Huyo dada hakuwa hata na wazo kuwa alikuwa anatumiwa tuu na hakukuwa na mpango wowote kwake wala kwa maisha yake ya baadae na miezi nane yote ni mingi sana. Kuna ile mtu anasema one time or two times then kila mmoja anashika njia yake haiumizi maana inajulikana kuwa hapo tunapunguziana stress na nothing serious will or expected to happen yaani wanasema no string attached between the two ila ni starehe za muda mfupi kila mmoja anaenda njia yake
Ila miezi nane na then unakuja kusema was just for funny dah hapana hapo was not just for funny was meant to be something else or one step forward.
kama ulifanya mtihan wa fom foo mwaka jana naweza nikawa najua matokeo yako!!!yaaaani wewe Mungu akusamehe kama unaweza kucheza na hisia za mtu kiasi iko wewe wakati unamgegeda unambinua hukujua atazama shaur zako watu wa hivo huwaga wanakumbukwa utamkumbuka si poa kuhurt an innocent girl bana nyie ndo mnafanya wanaume tunaomekana ma player na wasichana wanavunjika.mioyo na kuanza kuwaplay wanaume.ili kulipiza kisasi. Badilika
hebu soma tena post yangu mkuu kabla ya kutoa hukumu, coz inaelekea hujaelewa tuliko anzia hayo mahusiano yetuNewOrder huyo jamaa hajafikiria hilo na kwake ni kama ameshapata kile ambacho anataka na he can not turn back. Dada kashaumia na tatizo hajajua kuwa alikuwa anatumika tuu just to fulfil sexual needs za jamaa bila kujua kuwa hakuna mwelekeo wa maisha. Na now it is too late for her kurudi kule alikoanzia so hapo inabidi ajipange upya kuanza kutafuta maisha yake. Angeambiwa toka mwanzoni kuwa aise this is just for funny sidhani kama huyo dada angekubali kujianchia kihivyo kwa jamaa ila thats the reality
hebu soma tena post yangu mkuu kabla ya kutoa hukumu, coz inaelekea hujaelewa tuliko anzia hayo mahusiano yetu