Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Unajua nini kaka, Sio wanawake wote wa kuweka ndani. Kama nafsi yako imeridhika hafai basi Piga chini tafuta chombo kipya uweke ndani. Piga chini fasta kabla hajakutegeshea Mimba..!
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
MTOTO WA DC kama ushauri wako ni huu endelea kuwa msomaji tuu na waka usiwe mchangiaji maana wewe ni wale wale wa kusema kuwa unaweza kumpata mwanamke yoyote na ukamgegeda the way unavyotaka na kumtosa at your will and at any time bila hata kujali kama yeye nae ni binadam kama wewe
Huo ushauri unaotaka kumpa ni kama wa nguvu za giza wa kutengenezewa kesi na hiyo jiweke wewe ndo unatengenezewa mazingira hayo au dada yako au mdogo wako au mtoto wako
Dhamira siku nyingine inauma sana

Yaani nawaza jinsi watu tunavyochezea mioyo ya wenzetu bila huruma kwa kiasi hiki! Unakuwa na msichana kwa muda mrefu yeye kajua ndo kafika kumbe mhusika unapoteza muda wakati unatafuta mke. Inafika wakati unapata mke then mtu anakushauri umtafutie kisa ili kumuacha. Huu ni uonevu mbaya sana. Kwa nini tu usimwambie direct kuliko kuumiza akili yake kwa kumtafutia kisa? Huoni kuwa atakuwa ameksoea mara mbili? Nafsi haitamsuta?
 
yaaaani wewe Mungu akusamehe kama unaweza kucheza na hisia za mtu kiasi iko wewe wakati unamgegeda unambinua hukujua atazama shaur zako watu wa hivo huwaga wanakumbukwa utamkumbuka si poa kuhurt an innocent girl bana nyie ndo mnafanya wanaume tunaomekana ma player na wasichana wanavunjika.mioyo na kuanza kuwaplay wanaume.ili kulipiza kisasi. Badilika
 
Mmmh hakika nimekuwa nikijiuliza sababu ya ndoa nyingi kutodumu na kutobarikiwa,hii ni mojawapo ya sababu.kwanza kaka unatakiwa kufahamu kila mdada unaefanya nae tendo hilo mshakuwa mwili mmoja,sasa unamdump unaenda kuoa nae mnakuwa mwili mmoja,wewe huyo huyo unakuwa na maunganiko ya wasichana wawili labda na kuendelea,je unafikiri utakapooa huyo ulomfanya spare tyre atakubali kirahisi baada ya miezi nane kumchezea?je umefikiria kuhusu laana?je unafikiri MUNGU haoni matendo yako?usikaribishe laana ndugu.
 
Wanchekesha eti ilikuwa for funny... Sijui kupunguziana stress.. Wakati mnaanza hizo habari ulimwambia hivyo?????

Acheni hizo banaaaaaa.. Kwanini umkule mtoto wa watu just for funny??? Kama ulikuwa humpendi au huna ishu nae si ungemwacha akutane na mtu mwenye kumjali na kupanga mema juu yake.

Wanaume wa type hii sijuii mkoje?? Non sense!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
We MTOTO WA DC... Nahisi kuna mahali umetoroka wewe .. Kule wanakoshughulika na machi.I..

Haiwezekani ukawa mzima na unatoa ushauri mgando namna hii.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.
NAOMBA HII IWE POST YAKO YA KWANZA NA YA MWISHO NA UENDELEE TU KUWA MEMBER WA KUSOMA COMMENTS! :yuck:
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.

Yaani busara zako zimeishia hapo!!!
 
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile

Sijui kama ninaweza kutumia maneno yako kama yalivo (nadhani yako very emotional) lakini ukweli unabaki kuwa "being used is a painful thing" na ndivo huyu dada anavojisikia sasa hivi. Ni bahati mbaya jamaa "anadhani" huyu dada angekuwa na fikra kama zake "kupunguziana stress". Assumption yake kubwa ni kwamba hata yule dada alikubali uhusiano huo on stress-realated motives!!

Angejua umuhimu wa kuwa mkweli angesema nia yake toka mwanzo. It's too late to make any tricks na ukweli kamwe haupitwi na wakati. Ni vema akasema ukweli sasa, dada akapata maumivu lakini akaondoa matumaini au hata fight for her love.
 
NewOrder kuna mambo tunayafanya wakati mwingine tunaonekana kama wendawazimu maana hayaendani na kile ambacho tulipaswa kufanya. Huyo dada hakuwa hata na wazo kuwa alikuwa anatumiwa tuu na hakukuwa na mpango wowote kwake wala kwa maisha yake ya baadae na miezi nane yote ni mingi sana. Kuna ile mtu anasema one time or two times then kila mmoja anashika njia yake haiumizi maana inajulikana kuwa hapo tunapunguziana stress na nothing serious will or expected to happen yaani wanasema no string attached between the two ila ni starehe za muda mfupi kila mmoja anaenda njia yake
Ila miezi nane na then unakuja kusema was just for funny dah hapana hapo was not just for funny was meant to be something else or one step forward.
 
They say what goes around comes around! I know this pain the dude has inflicted on the girl will be dished out in equal measure in the same or different way some day. Ni bahati mbaya wanaume wengi hudhani ladies' disability to move on quickly is a handicap!! Actually it is the reason tunakuwa nao kwa muda mrefu!!

There is nothing like "fun" 4 a decent lady, dude angetaka hiyo angeenda street - huko hakuna strings!! Si vizuri kudhani hakuna strings eti kwa sababu hakukuwa na mazungumzo kuhusu muelekeo wa uhusiano - common sense should prevail!
 
NewOrder huyo jamaa hajafikiria hilo na kwake ni kama ameshapata kile ambacho anataka na he can not turn back. Dada kashaumia na tatizo hajajua kuwa alikuwa anatumika tuu just to fulfil sexual needs za jamaa bila kujua kuwa hakuna mwelekeo wa maisha. Na now it is too late for her kurudi kule alikoanzia so hapo inabidi ajipange upya kuanza kutafuta maisha yake. Angeambiwa toka mwanzoni kuwa aise this is just for funny sidhani kama huyo dada angekubali kujianchia kihivyo kwa jamaa ila thats the reality
 
Last edited by a moderator:
yaaaani wewe Mungu akusamehe kama unaweza kucheza na hisia za mtu kiasi iko wewe wakati unamgegeda unambinua hukujua atazama shaur zako watu wa hivo huwaga wanakumbukwa utamkumbuka si poa kuhurt an innocent girl bana nyie ndo mnafanya wanaume tunaomekana ma player na wasichana wanavunjika.mioyo na kuanza kuwaplay wanaume.ili kulipiza kisasi. Badilika
kama ulifanya mtihan wa fom foo mwaka jana naweza nikawa najua matokeo yako!!!

Soma vizuri post yangu ujue tulianzeje usirukie tu na comment coz umeona kuna space.

kwa kukusaidia wakati tunaanza hatukuwa na mpango wa kuoana kabisa. Na yeye alijua fika kuwa mie ni mume wa mtu ( hakujali hilo) Alipokuja gundua kuwa mie sijawahi kuoa ndo anataka kuhamia kabisa. Toa ushauri wako kuanzia hapo
 
NewOrder huyo jamaa hajafikiria hilo na kwake ni kama ameshapata kile ambacho anataka na he can not turn back. Dada kashaumia na tatizo hajajua kuwa alikuwa anatumika tuu just to fulfil sexual needs za jamaa bila kujua kuwa hakuna mwelekeo wa maisha. Na now it is too late for her kurudi kule alikoanzia so hapo inabidi ajipange upya kuanza kutafuta maisha yake. Angeambiwa toka mwanzoni kuwa aise this is just for funny sidhani kama huyo dada angekubali kujianchia kihivyo kwa jamaa ila thats the reality
hebu soma tena post yangu mkuu kabla ya kutoa hukumu, coz inaelekea hujaelewa tuliko anzia hayo mahusiano yetu
 
Mkuu Mabreka nimeku/pata sana na hebu soma wewe ulichoandika

Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

halafu uniambie tumekutolea hukumu wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:
mh! we uko sawa kweli?

Back
Top Bottom