Tulifanya for funny sasa anataka kujenga kibanda

Wala hujakosea kama kazi yake ni kutumika, ila Namuomba Mungu akupe watoto wa kike na wachezewe na kuachwa kama wewe unavyowachezea wa wenzio.
mkuu mie hapa nataka ushauri zaidi,

Nimwache kiustaarabu na atafute maisha yake kwa aman sio kwa kinyongo
 
alikuwa anafahamu hilo, tena alijua mie mume wa mtu, alipofika gheto na hakuona dalili za kuwepo Ke ndo anataka ahamie kabisa

mtu wa kumtolea stress ya nini umpeleke gheto wakati guest za buku 5 zimejaa tele?
 
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
Kama ilikuwa for funny kwa nini ukufanya hiyo funny na dada wa mama yako au mtoto wa mjomba wako?? then you came here with you vapour!!where they mods??
 
Kimsingi Ndoa ni taasisi ya kuiheshimu saana maana ni taasisi ambayo wahitimu mnapewa vyeti kwanza ndo mnaingia darasani! Hivyo inabiidi mtu kuwa makini saana unavyo fanya uchaguzi!usichague tu kisa unamwuonea huruma!oa unayemhitaji na unayempenda!
Pia mwanaume ndo wakufanya chaguo nani wa kumuoa sio nani akushauri ili umuoe nani!hayo ni maisha yako!
Kuwa na mwanamke mkagegedana sio tatizo maana ni sehemu ya mazoezi katika maisha ya binadamu hasa kwa lijali!kaa chini make choice of your own
 
Ni bora uendelee kuwa msomaji coz u don knw hw 2 advice a person do u think dat z da good advice u need 2 be a man of great mind.Do u think dat z right wat he did? he use da gal for 8 month.Kuwa na moyo wa huruma.
 
It was for funny ?!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ilikuwa ni one night stand sawa ungeweza kumwambia to hell nenda maana haikuwa plan yangu kuwa na wewe ila miezi nane yote unamtumia dada wa watu na then hapa unakuja kuomba ushauri wa nini ufanye
Haikuwa kwenye malengo yake kuwa yeye ni spare tyre ila alikuwa na malengo na wewe na ndo maana akakupa mwili wake kwa mategemeo kuwa kuna siku utaenda one step further ila wewe ushamchoka ndo unaamua sasa kumwambia kuwa sikutaki nina mwingine
Lolote utakalofanya jua kuwa litamuumiza kwa vyovyote vile
shikamoo Mr Rocky
cc: Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Kama ilikuwa for funny kwa nini ukufanya hiyo funny na dada wa mama yako au mtoto wa mjomba wako?? then you came here with you vapour!!where they mods??
shikamoo KakaKiiza hahahahah vapour aiseee so offensive ukizaa watoto wa kike ndio balaa lake ukizaaa wa kiume ndio balaaaa zaidi fuga mbwa wakali aisee
 
Last edited by a moderator:
mkuu mie hapa nataka ushauri zaidi,

Nimwache kiustaarabu na atafute maisha yake kwa aman sio kwa kinyongo
if you cant convince them comfuse them hapo huna la kheri mja ushakoroga hakuna amani hapo labda mpe 10m akafungue biashara yake imfariji nguvu alizotumia na jasho lake.mkono mtupu haulambwi ati??
 
Mambo vip Mabreka,topic yako imenifanya nijitokeze kwa mara ya kwanza kutoa comments humu JF baada ya kuwa member wa kusoma comments tu za wadau kwa miaka mingi tu.Kwanza ni kweli ataumia sana ukimwambia live kuwa humtaki wat you can do is that mtafutie sababu namaanisha tengeneza manzingira yeye awe ndio mkosaji,kwa mfano mpe rafiki yako namba yake ya cm then amtumie msg ya mapenzi na wew ukiwepo make sure unaisoma hiyo msg kwenye cm yake.Kama utashindwa njoo tena humu humu JF tuangalie alternatives maana wasichana wamekariri kuwa kila uhusiano basi lazima mwisho wake iwe ndoa kitu ambacho sio kweli kabisa.

Ic this is bad bora amwambie ukweli, hivi dem gani wa dot.com atakubali kuachwa kwa issue ya kupakaziwa? Mi nadhani kuwa mkweli ni vizuri atalia atasahau.
 
Kwa nini ufanye for funny na kwa nini usioe?Wewe ni kijana mchafu kabisa unayechezea wake za watu watarajiwa, mimi naombea huyo mkeo utakayemuoa naye agongwe sana na watu wengine wenye tabia chafu kama zako na mwisho wa yote akuletee hata na HIV kabisa. Watu kama wewe hamfai kuishi kabisa maana ndio munaoleta matatizo kwenye ndoa za watu.Yaani unafanya ngono for funny unadhani umekuwa mpira?Mat.ko yako!

Yani hii MSG isipomuingia akilini basi imuingie kwenye Mishipa ya damu... Dah!
 
Mmh broda....MLIFANYA for 'funny' au WEWE ndio ulikuwa unafanya for 'funny'? Miezi nane? Khaa!
 
Tufyakwa !!!
We unaejiita MTOTO WA DC mbona mchango wako umekaa ki facebook facebook ?
 
Yaani umeshindwa cha kumshauri mpk umtafutie kesi??/ shame on uuuuuuuu!!! kwa hiyo na wewe unafurahia alivyo mgegeda mdad wa watu kwa miezi 8 halafu leo anamwambia hamtaki, embu vaa viatu vya huyo dada ingekuwa wewe ungejisikiaje? mfano ni dada yako, au sister wako, utajisikiaje, unaweza toa ushauri hapa kumbe anayekwenda kuuliwa ni ndugu yako. Acha kabisa hiyo mambo.

Ur right Lisa, muda mwingi, tumekuwa watu wa kuongea bila kufikiria kwa sababu vitu tunavyovisoma, havijatufika sisi. Lakini, tungeelewa umuhimu wa kutoa ushauri na namna gani ushauri mzuri, huwa unaleta matokeo mazuri, tusingekuwa tuna-comment kama watoto wa darasa la1, kwenye mambo yenye umuhimu.
 
imagn angekua dada yako kafanyiwa hivo..hw would u feel?..tabia mbaya tu..umemtumia weee alf saiv unamuacha,umeniudhi sn
Hi wana mmu,
Kunua msichana tulikutana nikampiga sound kikaeleweka, km miezi 8 hivi iliyopita.
Tumegegedana kwa mda mie nikijua tunapunguziana stress.

Sasa hiv nataka nitulie nioe ( mchumba nimeshampata)
mie nataka nikate kamba ili nianze maisha mapya na huyu mpenzi wangu.

Imekuwa shida mi nilikuwa najitoa kisailensa, km kuacha kumtumia sms, kupunguza kupiga sim, kupunguza kutoa huduma (financial) tangia mwaka huu uanze sijamgegeda ila naona kama haelewi, bado anangangania.

Nimekuwa natumia ubinadamu kwa kutomwambia kavukavu kuwa nataka kuoa so tuachane, nikimwonea huruma kuwa ataumia sana, coz yy anaona km vile amefika wakati hatukuwa na huo mkakati wakati tunaanza.

Kwa wale wataalam wa hiz issue huwa mna-solve namna gani bila kuacha uadui kati yenu?

NB; Najua kuna watu watadai mbona wakati namgegeda sikusema? Ujue tunaomba msaada pale tunaposhindwa tu.
 
na wewe huyo ambae umepanga awe mpenzi wako naye anakutumia for funny, baada ya muda nae atakwambia it was for funny nae atasepa
 
Back
Top Bottom