Shishye
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 269
- 1
Heshima mbele bandugu,
Nilipewa assignment na my wife wangu ya kuongea/kumweleza msichana wetu wa kazi kuhusu seriousness ya kusoma huku anafanya kazi na what it take to be a good mwanafunzi and all that, you know kama baba anavyoongea na mwanae anaekwenda kuanza shule (by the way, tumemuanzisha sekondari - form one, so ameanza preform one. Ni msichana amabye kwa wakati tofauti tumekuwa nae kwa zaidi ya miaka 6 sasa.)
Sasa baada ya kumaliza lecture yangu ya kama dakika tano hivi. My laazizi wangu akaendelea kuongea nae mambo ambayo mm sikutaka kuyaingiza kwenye wosia wangu kwa sababu niliona yamekaa kimama zaidi, so nikawaacha wayaongee.
Sasa ghafla tukiwa shambani usiku wakati tunataka kutekeleza sera(!!?)/slogani ya Kilimo kwaza, akaanza kunipa mm lecture kwmba ooh! wewe kama unamuona kama mmoja wa familia basi mm namchukulia kama mfanyakazi tuu...na mambo mengine mengi.
Nikakumbuka kuwa tunashauriwa tusitake kuwaelewa sana hawa wenzetu.wewe unasemaje?
Nafikiri huyo mwenzako hakuwa tayari kuendeleza sera yako ya kilimo kwanza - hivyo alikuwa anatafuta njia ya kubadilisha topic. Nina hakika baada ya kufanya hicho alichofanya akili ilihamia kwingine kabisa na kisha kujikuta asubuhi inakukaribisha ungali mkavu!
Wakati mwingine akikufanyia tena hivyo we jifanye mjinga, kubali haraka haraka kuwa lilikuwa kosa, kisha iue hiyo topic na urejee pale mlipokuwa. Dont take them too serious in everything 'they' say.