Tulia, Nape na wengineo, huko mbeleni mnaweza kushuhudia watoto na wajukuu zenu wakikosa ajira katika bandari zetu huku Waarabu wakipeana ajira

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,086
144,523
Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia kwa watoto ama wajukuu zenu au kwa watoto na wajukuu wa ndugu na jamaa zenu wakati huo nyie mkiwa ni wazee msio na sauti mlizonazo leo.
 
Wawazie wajukuu zako, unajuaje pengine wenzio wamepiga hela ndefu ya kuja kula mpaka vitukuu vyao?
 
Back
Top Bottom