Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,111
- Thread starter
- #21
Anavyo vikosi vya SMZ, akiamua kuvitumia kulinda maslahi ya Zanzibar moto utawakaWa Zanzibar si Amiri.Hana majeshi nikama monita tu.

Anavyo vikosi vya SMZ, akiamua kuvitumia kulinda maslahi ya Zanzibar moto utawaka
Vikosi hivyo haviwezi kupata silaha nje hadi kiranja mkuu Tanganyika asaini.Katiba ni muhimuAnavyo vikosi vya SMZ, akiamua kuvitumia kulinda maslahi ya Zanzibar moto utawaka
Kikinuka tayari vikosi vya SMZ vina silaha za kutosha tu kuweza kushambulia kambi za JW huko Zenji na kuwatimulia mbaliVikosi hivyo haviwezi kupata silaha nje hadi kiranja mkuu Tanganyika asaini.Katiba ni muhimu
Huyo ndie ana taka kuwa spika.Tulia AJIUZULU TU
Si kosa lake, huyu ni naibu spika wa bunge la Tanganyika.Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar
Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar.
Kwa hiyo kwa muktadha huo ni sahihi kusema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu w Tanganyika iliyovaa koti la muungano lakini si mkuu wa nchi ya Zanzibar
Hata Kiprotokali, Rais wa Tanzania awapo Zanzibar kiitifaki Rais wa Zanzibar huwa yuko mbele yake
Naweka hapa katiba ya Zanzibar inayotamka wazi kuwa rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar
View attachment 2077741
Hapa nimegundua kuwa rais wa JMT kwa upande wa zanzibar anabakiwa na jukumu moja tu, nalo ni amirijeshi mkuu
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Yani NINAMSHANGAA sana mtu anahoji hivi vituJeshi linampigia mizinga 21 Rais wa Zanziba kama wa Tanzania.
Unajua kuwa Mwinyi aliapishwa kama sehemu ya baraza la mawaziri?. Unaelewa maana yake lakini?.Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar
Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar.
Kwa hiyo kwa muktadha huo ni sahihi kusema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu w Tanganyika iliyovaa koti la muungano lakini si mkuu wa nchi ya Zanzibar
Hata Kiprotokali, Rais wa Tanzania awapo Zanzibar kiitifaki Rais wa Zanzibar huwa yuko mbele yake
Naweka hapa katiba ya Zanzibar inayotamka wazi kuwa rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar
View attachment 2077741
Atazidi kulidhoofisha bunge.HatumtakiHuyo ndie ana taka kuwa spika.
Ma bushlawyers wamejaa ndio maana tanzannia kila mtu ni mjuaji.Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi.
Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar
Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar.
Kwa hiyo kwa muktadha huo ni sahihi kusema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu w Tanganyika iliyovaa koti la muungano lakini si mkuu wa nchi ya Zanzibar
Hata Kiprotokali, Rais wa Tanzania awapo Zanzibar kiitifaki Rais wa Zanzibar huwa yuko mbele yake
Naweka hapa katiba ya Zanzibar inayotamka wazi kuwa rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar
View attachment 2077741
Kubwa wabaguzi walijua ubaguzi ni kitu kibaya hatimaye mtu meeusi alionekana ni mtu kama walivyo wazngu.Kwa hiyo Mandela alipata nini?
Rais mweusi South Africa?
Kwamba hilo ndilo lilikuwa hitaji la watu wa SA?