Mi ukiniwekea ugali wa muhogo na mlenda nishushie na togwa,mbona unakuwa umenikumbusha mbali.
Mkuu hii imenikuna mbaya.Wacha kabisa.Ugali wa Muhogo na samaki aina ya ng'onda aliyeungwa kwa nazi..............hii nilikula kule pande za Kipatimo Kilwa..........
Khipwi ndo nini mkuu?Ugali kwa khipwi
Hah haaa,wewe utakuwa jirani yangu kule kanda ya magh/ziwa.Ukiniletea matobolwa kwa chai nitashukuru sana...
umenikumbusha mbali,mimi michembe na chai ya maziwa iwe na yale majani ya mchaichai.Ukiniletea matobolwa kwa chai nitashukuru sana...
Khipwi ndo nini mkuu?
Hah haaa,wewe utakuwa jirani yangu kule kanda ya magh/ziwa.
umenikumbusha mbali,mimi michembe na chai ya maziwa iwe na yale majani ya mchaichai.
Hiyo ni nzuri,inarekebisha hata yale mambo yetu.Mboga ya Kibondei......nyanya chungu, bamia,nyanya, kitunguu,nazi nk
Udaga ni maarufu sana kule UK.Ugali wa udaga kwa kibambala chukuchuku (chumvi, limao na pilipili tu), umemaliza kazi!
Hongera infwakiti.mi matoke,mlamba,lubisi,omubumbo from uganda bila kusaau SENENE na kumbikumbi..