Tukumbushe movies za kitambo jamani

Hizi hapa baadhi ya movie za kutisha...

Revenge of the pumpkin head, nightmare on the elm Street, return of the living dead, Dracula, jaws,
 
Screenshot_2016-05-29-18-12-09.jpg
 
anodi la jini
anodi la jeni
dame na bolo yanki
phantoom soja
dame na shagashugi
mniga analiwa na mamba
deme na alex
taichii
dame na tompoo
watoto 7
paranawee (mark dakasikosi)
Drive(mark dakasikosi)
alex zandaluu na mzee igo
kasamende
chakoda
doni yeni mateke matatu
sarafina
rambo
dame marasta
striki comando(kamoni waveteeee)
red scopion
dame na doph(sikukuu ITV ndo picha lao)
jeki sheni na masta mchaafu(mzee wa kaliinya)
jumanji
mtoto kevi(home aloni)
dame anatoroka jeshini
 
Platoon,bonge la movie nisiyochoka kuiangalia.
1464630600360.jpg
1464630621234.jpg
nakumbuka mara ya kwanza kuiangalia ilipofikia scene hii chozi lilinitoka,inaelezea ugomvi wa makamanda wawili wa Marekani waliokuwa Vietnam vitani ikatokea kutoelewana,mmoja akamuwahi mwenzake akamjeruhi akijua kamuua ila baadae akaokotwa na Vietnamese kama mateka,hapo alikuwa anaomba msaada kwa uchungu kwa wenzanke waliokuwa kwenye chopper.
 
Platoon,bonge la movie nisiyochoka kuiangalia.View attachment 352252View attachment 352253nakumbuka mara ya kwanza kuiangalia ilipofikia scene hii chozi lilinitoka,inaelezea ugomvi wa makamanda wawili wa Marekani waliokuwa Vietnam vitani ikatokea kutoelewana,mmoja akamuwahi mwenzake akamjeruhi akaokotwa na Vietnamese kama mateka,hapo alikuwa anaomba msaada kwa wenzanke waliokuwa kwenye chopper.
noma sana hii movie mara ya keanza nimeiona 1991 au 1992 pale Drive inn cinnema lakini tulikuwa tunaona kivuri picha lenyewe harisi nimeliona 1994


nikiseme kivuri watoto wa kinondoni mwanayamala na viunga vya mikocheni na msasani wa enzi hizo wananipata vema kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom