Tukumbushane: Kwanini kafulila alifukuzwa CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

security guard

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
799
603
Wakiwa na kazi ya kuja kutawala na tamaa ya madaraka ,wananchi wa TAnzania walishawahi kujiuliza sababu za Kafulila kuondolewa CHADEMA????????????????????????????? tukumbushane kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
 
Ama kwa hakika MH. DAVID KAFULILA aliondolewa CHADEMA kutokana na hila,chuki,tamaa,pia uchu wa madalaka pamoja na ubaguzi wa kikabila.NI HAYO TU
 
Kafulila hakufukuzwa Chadema. Aliondolewa nafasi ya uongozi lakini hakufukuzwa uanachama. Kajipange tena.
 
Embu jaribu kumhoji mhusika (kafulila) halafu mpigie slaa au mbowe au zito atakwambia maana nijuavyo hata katika vyama vya jumuia ukifanya mambo ambayo yapo nje ya katiba yenu unafukuzwa
 
Mbona hajiulizi kwanini kafulila alifukuzwa nccr mageuz na akaukosa ubunge, mpaka alipokimbilia mahakaman?. Kwahio cdm na nccr wote ni wadini na wakabila?. Mi nadhan mleta mada angekuwa na akili angeleta mada ya kwanini twiga wetu wanaibiwa na 2fanyeje?. Sio anakurupuka toka choon nakuleta mada mbovu. Km hana pesa aje achukue. Maana ana njaa huyo.
 
Heheheheeeeee....nicheke miye, siasa eti kwa maendeleo ya nchi...umesahau kidogo, Kafulila hakufukuzwa aliondolewa uongozi kisa anatoa siri za chama kwa vyombo vya habari. Ni yeye aliyejiondoa na mwenzake....Slaa akasema aende kwani ni sisimizi tu.
 
Mbona hajiulizi kwanini kafulila alifukuzwa nccr mageuz na akaukosa ubunge, mpaka alipokimbilia mahakaman?. Kwahio cdm na nccr wote ni wadini na wakabila?. Mi nadhan mleta mada angekuwa na akili angeleta mada ya kwanini twiga wetu wanaibiwa na 2fanyeje?. Sio anakurupuka toka choon nakuleta mada mbovu. Km hana pesa aje achukue. Maana ana njaa huyo.

Kula LIKE zangu za kufa mtu Mkuu
 
hebu muulize nape kwanini alienguliwa kura za maoni?akikujibu uje na hili wazo lako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom