Ms Judith
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 2,563
- 919
nafikiri kali iliyomshtua kila mtu ni kijana aliyekuwa hajulikani kwa kiwango chochote (wakati huo) paschal mabiti alipomwangusha mwansiasa maarufu na mkongwe nchini aliyejulikana pengine zaidi ya wote kutoka kanda ya ziwa kwa sifa na umahiri kem kem ndani na nje ya nchi (wakati huo) paul bomani (RIP) mwanza mjini (mwaka sina hakika).
off point;
rekodi ya fitina kubwa zaidi ya kisiasa katika kuwania ubunge nchini iliwekwa na jaji joseph warioba mwaka 1990 (akiwa anamalizia malizia uwaziri mkuu wa kipindi cha kwanza cha rais mstaafu mwinyi) dhidi ya manyama mkondya katika jimbo la bunda mkoani mara.