Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Huyu bwana alimsurubu sana Mbowe miaka ile. Ajabu, alipopigwa chini kura za maoni 2005 kwenye chama lao la magamba akataka kuchepukia CDM. Sijui baadaye aliishia wapi!

Abel Kyagunya Mwanga 1975-1995 (Musoma mjini)
Emmanuel Magoti 1995-2000 (musoma mjini)
Ibrahim Marwa 2000-2005 (musoma mjini)
Vedastus Mathayo Manyinyi 2005-2010 (musoma mjini)
 
msimsahau mzee wa G51, mzee wa serikali taty-Tanganyika, Z'bar na Tanzania: Njelu Kasaka, alitoka chama la magamba ila nadhani baadae alirudi tena magambani, baada ya hapo ndo ikawa mpotezee kwa jumla
 
Wadau wana JF naona kuwa tunaishia kuona majina ya wanasiasa ambao wameshapata kumwagwa kwenye Bunge,mbona amtwambia nini kilisababisha wamwagwe na jamii husika jaribuni kutupa majina na sababu uwenda zikawasaia wabunge na wanasiasa wengine kujifunza kupitia wao humu ndani ya JF

Nawasilisha
 
Hon Nhigula aliangushwa jimbo la kwimba enzi hizo.miaka ya nyuma alikuwa
anaishi nyumba za NSSF Tabata.

Marekebisho kidogo Dr Pius Ng`wandu hakubwagwa aliamua kuachia mwenyewe.

Mwingine ni Mwapachu aliyeangushwa na Dr Nundu ........ 2010
 
sasa umenuna nini kwani si alimpiga mtu kweli
kama umeona tunakosea turekebishe we mjuaji
si kusema maneno mbofumbiofu hapa
wewe kwakuwa mkubwa ungetuelimisha.
hili jukwaa lina watu wa kila aina wenye
upeo wa kila aina
kwanza ili tukuelewe hebu tupatie source
si ututukane bur hapa
tutaaminije kama unachosema ndo sahihi
afu sisi tumesema upupu.













<br />
<br />. Baada ya kusoma thread zote ambazo zinaelezea kwa nini Wassira anaitwa Tyson nimepata picha kweli kuna upotoshaji mkubwa na watu wanapost tu vitu wasivyovijua. Hii inaonyesha wengi ni watoto hamjui hata hata source ya jina hilo na kinachofuata hapa ni ubishani na kujaza kurasa za JF zisizokuwa na maana. Ukweli ni kwamba Wassira aliwahi kuhamia NCCR-Magaeuzi baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi miaka ya 1995, na alivyohamia mwandishi wa habari wa gazeti la Majira siku moja alimuuliza maswali, kwa muujibu wa Wassira alidai yalikuwa mwaswali ya maudhi. Wassira alimnasa vibao. Kesho yake gazeti la majira lilikuwa na headline iliyosomeka "TYSON WASSIRA AMPIGA MAKOFI MWANDISHI WA HABARI". Kuanzia hapo ndio alibatizwa hilo jina.Natoa ushauri kama mtu hujui kitu wakati mwingine bora uwe msomaji tu, kuliko kupoteza nguvu zako kuposha watu ndani hili jamvi.
 
By Sajenti Kuwayawaya S. Kuwayawaya...Jamaa alikuwa napiga suti nyekundu tu akiingia bungeni na sharubu zake sijui kapotelea wapi???

he, kumbe huyu mh. kaanza kuvaa suti yekundu zamani hivyo? mi nimemkuta mwaka jana kwenye ofisi yake ya uwakili dodoma pale CCT akiwa na suti nyekundu na sharubu kama kawa, duh, inaonekana kishachagua ndo lifestyle yake hiyo
 
Hon Nhigula aliangushwa jimbo la kwimba enzi hizo.miaka ya nyuma alikuwa
anaishi nyumba za NSSF Tabata.

Marekebisho kidogo Dr Pius Ng`wandu hakubwagwa aliamua kuachia mwenyewe.

Mwingine ni Mwapachu aliyeangushwa na Dr Nundu ........ 2010
RIP Nhigula,kumbe nae yalimkuta..!,huu ukoo wa Mwapachu nao unachosa toka enzi za mkoloni.
 
Ndembwela Ngunangwa
Gideon Cheyo
Sukwa S.Sukwa
Dr P.Msekela
Siraji Kaboyonga.
 
Semindu Kisange Pawa
Ndembwela Ngunangwa NJOMBEKUSINI
Mohamed Nkanyama TANDAHIMBA
James Mbatia VUNJO
Evarist Mwanansao NKASI
James Yamungu ILALA
Charles Chinuno magoti Musoma(V)
 
1. Amir Jamal... Morogoro Mjini ... alijiondoa
2. Shamim Khan... nadhani alikuwa anagombania uwakilishi through Umoja wa Wanawake
 
Antoni Diaro(Ilemela)
Benitho Malangalila(Mufindi kusini)
Joseph Mungai(Mufindi kaskazini)
mama Monica Mbega(Iringa Mjini)
 
Nimemkumbuka Sukwa Said Sukwa.... Sikumbuki cheo chake na alipo sasa sijui ila aliwahi kuvuma katika siasa za Bongo!
 
Vipi walioangushwa na kesi za uchaguzi Mahakama Kuu? Naikumbuka ya Jaji Warioba na Wassira ambayo imewafanya maadui hadi kesho.
 
Back
Top Bottom