Tukumbushane kidogo: Wanasiasa maarufu waliopata kubwagwa ubunge

Haswaa! Na hilo jina la Tyson linatokana na huo mnyukano wa kisiasa, kwani bila ubabe asingepata ubunge kwa chama cha upinzani miaka hiyo.

Hapana, lile jina kalipata kutokana na SURA YAKE TATA!

Kwenye list Yumo!Nsanzukwako,Kizango alimwagwa na Bendera!Kibasa alimwagwa na Monika Mbega
Arcado Ntagazwa
Lepilal Ole Moloimet-Monduli

Shashu Lugeye
Biku
Teddy Kasella Bantu
Mujuni Kataraiya
David Mwakyusa.

Hapana, lile jina kalipata kutokana na SURA YAKE TATA!

HAKUNA HUYU DINGI ALISHAMKATA MAKOFI MSAIDIZI WAKE NDO WAKAMWITA TYSON! ILA NI HANDSOMEEE,MWENYE PICHA YA MWANAWE NA MY WIFE WAKE NAOMBA AWEKE TUWAONE NA WAO

HAKUNA HUYU DINGI ALISHAMKATA MAKOFI MSAIDIZI WAKE NDO WAKAMWITA TYSON! ILA NI HANDSOMEEE,MWENYE PICHA YA MWANAWE NA MY WIFE WAKE NAOMBA AWEKE TUWAONE NA WAO

. Baada ya kusoma thread zote ambazo zinaelezea kwa nini Wassira anaitwa Tyson nimepata picha kweli kuna upotoshaji mkubwa na watu wanapost tu vitu wasivyovijua. Hii inaonyesha wengi ni watoto hamjui hata hata source ya jina hilo na kinachofuata hapa ni ubishani na kujaza kurasa za JF zisizokuwa na maana. Ukweli ni kwamba Wassira aliwahi kuhamia NCCR-Magaeuzi baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi miaka ya 1995, na alivyohamia mwandishi wa habari wa gazeti la Majira siku moja alimuuliza maswali, kwa muujibu wa Wassira alidai yalikuwa mwaswali ya maudhi. Wassira alimnasa vibao. Kesho yake gazeti la majira lilikuwa na headline iliyosomeka "TYSON WASSIRA AMPIGA MAKOFI MWANDISHI WA HABARI". Kuanzia hapo ndio alibatizwa hilo jina.Natoa ushauri kama mtu hujui kitu wakati mwingine bora uwe msomaji tu, kuliko kupoteza nguvu zako kuposha watu ndani hili jamvi.

Huyu bwana alimsurubu sana Mbowe miaka ile. Ajabu, alipopigwa chini kura za maoni 2005 kwenye chama lao la magamba akataka kuchepukia CDM. Sijui baadaye aliishia wapi!

Yaani huyu jamaa wenye magamba wote walikuwa wanamgwaya, Pius Msekwa alikuwa anamtumia kuwakomoa wabaya wake iwe kwenye chama chake au wapinzani.............!

Mmemsahau sinani kule mtwara. Huyu aliniacha hoi alipomuomba waziri wa mambo ya ndani askari wa kule mtwara waongezewe virungu na ping u kwa ajili ya kudhibiti vibaka maarufu kama Tukale wapi

Fedastus Limbu 1995 NCCR Magu mjini
Mpesya 2010 mbeya mjini

Kuweka rekodi sawa, kwanza jina lake ni Dr Festus Bulugu Limbu na hakuwahi kuwa mbunge wa Magu kupitia NCCR, ila amekuwa mbunge toka 2000 kupitia CCM.

Ilikuwa hivi ni kweli mwaka 1995 aligombea ubunge kupitia NCCR lakini alishindwa na Malaki Levi Lupondije (RIP) aliyekuwa m/kiti wa Nyanza na tajiri sana wa Magu ambaye alikuwa mgombea wa CCM.

Mwaka 1996 mwishoni Malaki alifariki na jimbo kubaki wazi, kwenye uchaguzi mdogo mwanzoni 1997 Dr Limbu alihamia CCM na akagombea kupitia chama hicho lakini aliangushwa vibaya sana na John Cheyo (Mapesa) kupitia UDP na baadaye uchaguzi wa 2000 akagombea kupitia CCM ndo akashinda hadi leo ni mbunge wa Magu.

Uko sahihi kabisa wala hujakosea
Mateo Qares aliangushwa kwao Babati na wala sio Rufiji;alichokwa kwao kwa kauli zake za kukera kwa wapiga kura hasa walipomuomba akiwa Mbunge 1990 awatafutie soko la vitunguu na yy kuwajibu kuwa "wakikosa soko waunge vitunguu vyote kwenye mboga zao";Aliyeangushwa Rufiji ni Waziri Mbonde baada ya kuingia Prof Mtulia;nipo tayari kukosolewa anyway!LKN swahiba wake mkuu Mkapa akamkumbuka kwa kumpa RC-Mbeya;kwa sasa sijui yupo wapi jamaa huyu machachari

. Baada ya kusoma thread zote ambazo zinaelezea kwa nini Wassira anaitwa Tyson nimepata picha kweli kuna upotoshaji mkubwa na watu wanapost tu vitu wasivyovijua. Hii inaonyesha wengi ni watoto hamjui hata hata source ya jina hilo na kinachofuata hapa ni ubishani na kujaza kurasa za JF zisizokuwa na maana. Ukweli ni kwamba Wassira aliwahi kuhamia NCCR-Magaeuzi baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi miaka ya 1995, na alivyohamia mwandishi wa habari wa gazeti la Majira siku moja alimuuliza maswali, kwa muujibu wa Wassira alidai yalikuwa mwaswali ya maudhi. Wassira alimnasa vibao. Kesho yake gazeti la majira lilikuwa na headline iliyosomeka "TYSON WASSIRA AMPIGA MAKOFI MWANDISHI WA HABARI". Kuanzia hapo ndio alibatizwa hilo jina.Natoa ushauri kama mtu hujui kitu wakati mwingine bora uwe msomaji tu, kuliko kupoteza nguvu zako kuposha watu ndani hili jamvi.
Hii huenda ni sahihi kabisa.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom