Tukubaliane utamu wa sura ndo utamu sehemu za Siri! Hii treaty ni mbaya na mikataba ya sirini itakuwa mibaya Tu

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nikubali yakuwa Mimi ni mraibu wa mapenzi hasa mapenzi ya jinsia mbili tofauti.

Moja ya vitu vinavyonivutia Kwa mpenzi wangu yaani mke wangu ni uzuri wa sura yake, kucha za miguu yake, urefu wake, weupe wake na vingine vingi, nisisaau komwe lake.

Kuna watu kupitia jukwaa ili wameisha Anza kutudanganya ya kuwa Ile iliyoitwa treaty kweli ina kasoro na kasoro hizi kwa sasa haziwezi rekebishwa Ila kwa kuwa iliyotangulia ni treaty, mikataba inayofatia itakuwa mizuri Tuuuuu!

Huu ni ujinga wa kututaka tuamishe mawazo yetu kutoka usoni kuyapeleka kufkiria yakuwa USO waweza kuwa mbaya Ila sehemu za siri zikawa Sawa.

Mwenyezi Mungu alitumia material tofauti kutengeza sura akazioendesha kwa nakishi mbali mbali lakini alichotumia kwa sura hakukitumia kuimba sehemu za siri ndugu zangu ndio maana vitu hivi vina mwonekano tofauti bandugu.

Kasoro za usoni zinaweza mfanya MTU ahamanini yakuwa ziko mpaka sehemu za Siri ndivyo ilivyo yaliyotokea Kwa treaty hii ambayo ilisainiwa hadharani na kupelekwa Bungeni kupitishwa na Bunge lenye watu zaidi ya 300 bado kuna kasoro.

Nitakuwa wa mwisho kuamini yakuwa mikataba itakavyo kuwa ya Siri itakuwa Sawa ili Hali treaty ya hadharani umekuwa hivyo ilivyo.

Naomba kuwasilisha.
 
RIP mtetezi wa wanaume Mh. Anna alisema hivi wanaume wanapenda vipande vipande, ila kwa upande mwingine wanaume wenye sura ngumu ndio wenye uwezo mzuri kitandani yaan unakojozwa hadi unatamani ulie machozi ya damu kwa utamu. Sasa ukutane na sharobaro sura nzr mrembo lips denda yaani kwanza kidogo tu kishakojoa alaf kurudia utaibust kwa kuinyonya hadi mishipa ya shavu inauma lakini dyudyu haiamki yaani, Sura ngumu Oyeeeee
 
2024 oyee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
RIP mtetezi wa wanaume Mh. Anna alisema hivi wanaume wanapenda vipande vipande, ila kwa upande mwingine wanaume wenye sura ngumu ndio wenye uwezo mzuri kitandani yaan unakojozwa hadi unatamani ulie machozi ya damu kwa utamu. Sasa ukutane na sharobaro sura nzr mrembo lips denda yaani kwanza kidogo tu kishakojoa alaf kurudia utaibust kwa kuinyonya hadi mishipa ya shavu inauma lakini dyudyu haiamki yaani, Sura ngumu Oyeeeee

Kila kizuri hakikosi kasoro,dont judge the book by its cover
 
Back
Top Bottom