FairPlayer
JF-Expert Member
- Feb 27, 2006
- 4,145
- 716
Kitila,
Ngoja nijitoe pia tena sio kuchangia tu hata kusoma, nisije nikapata mafunza pia kichwani!

unajieleza kichwa kilivyochoka? rudi bongo kijana kama kichwa kimejaa mafunza! nilifikiri umeota sugu! teh teh teeee tehhhhh
Pole sana, siwezi kukusaidia na frustration zako za maisha!
Mwanakijiji,
Fasihi yako nimeielewa, ila sina uhakika kama niko sahihi. Kwamba unayoyataka (na wananchi walio wengi kwa ujumla wake) serikali hii iyafanye, haiyafanyi. Hata kama inayafanya, inayafanya kwa kiwango kisichoridhirisha na kwa taratibu sana! Pia kupiga kelele tokea nje ya CCM kunawafanya wasisikilize kwa sababu "they can not swallow their own pride".
That means you are in a dialemma as to whether you join them so that they can listen to you or just keep shouting from outside the ruling party. Yeah!, it is really a political dialemma because once you jump into CCM and realise that they are still not listening to you, you will either be more frustrated or just decide to become greedy are they are.
Had I been you, I would have just kept on shouting from outside, and to be on a better side from a non-political organisation. Just like HAKI ELIMU, TAMWA and the likes do. Shouting from an opposition political party sometimes makes things even worse. The government of the ruling party ignores all the recommendations, however good they might be. Take an example of this year's alternative budget from the opposition parties, it was professionally prepared and had there been any efforts to merge it with the gorverment one, we would be having a better budget today. That is my opinion anyway.
But the gorvenment wouldn't do anything with it because it would mean giving credit to the opposition.
I like Kitila Mkumbo signature on this forum.."Evil flourishes when good men (and women)do nothing". Mwanakijiji, I suppose you are one of the good men and you should not keep quite.
...1000's of countless post against mafisadi & injustice,at the end this is what u get from traitors like Mwanakijiji,kama unafikiri ulichokuwa unaandika hapa kilikuwa utani kuna watu kimewa affect big time na mmoja wa victim wako ni msolla...swali moja tuu kabla sijamalizana na wewe is this reconciliation or surrender?
Mzee Mwanakijiji,Kwanini msisalimu amri tu na kukubali kushindwa? Wakati huu ndio wakati muhimu kuamua kama mapambano haya tunayaweza au tuseme tumeshindwa. Mapambano haya ni ya fikra na mioyo ya Watanzania. Nani atashinda inategemea nani anapigana. Leo zamu ya Kikwete kucheza chess yake and he surely made his move. Do we have a counter move au ndio katuambia "check mate"? na wote tumebakia na moyo wa kukata tamaa?
Mzunguko wa pili....timu ile ile refa yule yule dakika zile zile....kuna haja ya kujipanga upya?. .au matokeo yanajulikana?
Tatizo mdhamini wa mechi yenyewe hajathibitishwa na TBS.
Mzunguko wa pili....timu ile ile refa yule yule dakika zile zile....kuna haja ya kujipanga upya?. .au matokeo yanajulikana?
cha kushangaza licha ya watu kujua kuwa refa atawabeba jamaa, lakini bado watu wanaenda uwanjani!
Nimeamka leo na mawazo ya ajabu sana! Maajabu kiasi cha kunishangaza mimi mwenyewe, na siyo tu kunishangaza bali kunistaajabisha kwa kunishangaza jinsi ninavyoshangaa! Hata hivyo ni mawazo ambayo kwa hakika ni ya mtu aliyefikia ukingoni... Tumepiga kelele hawakushtuka, tumeimba hawakucheza, na tumewaita hawakuitika! Wameamua kuendelea kufanya wafanyalo, kulinda walindalo, na kuendeleza kile kinachoitwa "libeneke".
Hata kama mtu ni shabiki wa timu ya mpira wa soka, kuna wakati ule ushabiki unakutoka hasa timu yako inapobugizwa magoli utadhani mchezo wa mpira wa kikapu. Ukifungwa goli moja unaweza kusikitika lakini bado ukaendelea kuishangalia timu, lakini goli la tatu, la nne, la tano, hata kama ni shabiki wa kuzaliwa inabidi uvue jezi na kuishangalia timu ya upinzani au kuamua kujing'atua uwanjani pole pole!
Bila ya shaka hadi hivi sasa hakuna shaka ni serikali gani tunayo mkononi, tunafahamu kwa hakika kuwa sera yao ya kulindana bado inaendelea, wako pole pole kushughulikia masuala ya mustakabali wa Taifa, na kwa hakika hadi hivi sasa hawana kipaumbele cha utendaji! Serikali haiwezi kufanya kila kitu kwa kiasi kikubwa ndani ya muda ule ule isipokuwa mpaka ichague kipaumbele na kipi kitangulie. Kama ni miundo mbinu, elimu, afya, madini n.k serikali makini ni lazima ijue inataka kuweka msisitizo wapi. Haiwezekani hata kidogo kumridisha kila mtu kwani matokeo yake hakuna atakayeridhika.
Waswahili walisema "panya wengi hawachimbi shimo refu". Maana ya msemo huo inashabihiana kabisa na ile "law of diminishing returns" ambapo inafika mahali faida inazidi kupungua pale vitu fulani (variables) vinazidi kuongezwa. Kwa kuongeza wakulima zaidi kwenye shamba la ekari moja haina maana mavuno yataleta faida zaidi! Kwa jinsi serikali yetu inavyokwenda nina uhakika tumefikia mahali pa diminishing returns na hatuna budi kupunguza vitu fulani.
Tupunguze vitu vya kufanya ndani ya miaka mitano ya mwanzo (sasa mitatu iliyosalia). Rais Kikwete na timu yake wake chini na kuingalia Ilani ya CCM na waamue kwa dhati ndani ya miaka mitatu iliyobakia ni nini kitatiliwa kipaumbele ili ifikapo 2010 angalau vitu hivyo viwe vimefikiwa angalau asilimia 95 ya malengo yake. Kwa kufanya hivi napendekeza kuwa na vipaumbele vya aina mbili.
a. Vipaumbele vya Msingi. Hivi ni vipaumbele ambavyo ni lazima serikali yoyote ihakikishe vinaendelezwa kila mwaka. Vipaumbele hivi vinahusu huduma za jamii (afya, elimu, na maji); vipaumbele vya Usalama (majeshi, ulinzi n.k) na vipaumbele vya miundo mbinu (barabara, umeme, simu n.k).
b. Vipaumbele vya Kati: Hivi ni vipaumbele ambavyo kila serikali inafanyia kazi kwa kadiri ya inavyochaguliwa. Mara nyingi vipaumbele hivi vinafuata sekta maalumu au eneo maalumu la kiuchumi. Lengo la vipaumbele hivi vya kati ni kufikia vipaumbele vya msingi. Maeneo ambayo serikali inaweza kuyatilia maanani katika sehemu hii ni vitu kama : Ubadilishaji wa sheria, utungaji wa taratibu, usimamizi na uchunguzi wa mambo fulani n.k Hivyo masuala kama ya mikataba n.k yangeweza kutiliwa maanani mara moja kwa kubadilisha taratibu na sheria na kufanya uchunguzi ili vipaumbele vya msingi viweze kufanikiwa pasipo matatizo.
Tatizo tulilonalo sasa ni kuwa watawala wetu wanajaribu kufanya mambo mengi kwa muda mfupi kwa kutumia watu wengi zaidi. Hili kwa hakika itakapofika 2010 tutajikuta hatujafanya mengi. Kwa vile watawala wetu wanajaribu kuridhisha kila mtu na kwa maneno yao mengi wanajaribu kufanya kila wawezalo kuonesha wako ontop of everything, na kwa sababu siamini hata kidogo kuwa wataweza kufanya yote waliyoyasema na kuyaahidi, nimeamua kuweka manyanga chini hasa katika suala la kuikosoa serikali.
Nimeamua na mimi kuungana na wale watafutao yale mazuri ya serikali na kuyapigia mbiu na kuyatangaza! Nimekubali yaishe... Nimekubali kuwa wao ndio watawala na walichaguliwa kwa asilimia 80, wanapendwa na wananchi na wanakubalika kutawala miaka mingine hamsini ijayo... kama walivyosema wengine "kama huwezi kuwashinda, jiunge nao".
CCM here I come, naomba kadi au ukada wa aina fulani....

Kumbe wenzetu waliombaga kuwa wanachama wa CCM?!, angalau sasa ndio nimeanza kuelewa!, na kiukweli jambo ukiishalielewa, halikupi taabu!.ushabiki wangu wa Kikwete haukuwa na kificho na mapenzi yangu kwa CCM sijawahi kuyaficha. Hata hivyo muda huo wote SIKUWA MWANACHAMA nilikuwa shabiki tu hasa ukizingatia nililelewa ndani ya CCM na kunyweshwa maji ya bendera. Na kwa muda wote sijawahi kuwa na kadi yoyote ile isipokuwa ya CCM niliyopewa miaka ileeeeee wakati natakiwa kwenda mafunzo ya Mgambo!(ila ilishaexpire baada ya kuukimbia mwenge 1984).
Niliomba kujiunga na CCM mapema mwaka huu lakini wakanipa masharti magumu gumu hivi ya kucompromise some of principles nikagoma tu. Ila sasa wataka au wasitake nitajiunga nao humo humo... kwani naamini ninatimiza masharti yote ya kuwa mwanachama.
Kumbe wenzetu waliombaga kuwa wanachama wa CCM?!, angalau sasa ndio nimeanza kuelewa!, na kiukweli jambo ukiishalielewa, halikupi taabu!.
Nakutakia kazi njema, October ama tutapongezana ama tutapeana pole!.
Pasco