Tukisema wanajiuza.....

Status
Not open for further replies.
huna issue,mfano bora na nyie mnaoleta picha za watu hapa...???nyie ndio hampaswi kuwa mfano bora???...........kila mtu yupo nyuma ya PC au unadhania tunakuona hapa ukitype??shhhxxxxxxx!

Nafurahi sana jinsi unavyojipa pressure/stress za bure...........leo online marketing imeingia mushkeli mama.

Picha zako zimewekwa JF na wadau wanakukosoa haulipi na kiwowowo chako fekifeki, cha kichina!
 
Fidel achana na huyu dada, hana hata chembe ya busara si unaona anavyotukana nick names! you cana imagine ukikutana nae face to face itakuwaje!

Siku zote hekima na busara havinunuliwi dukani

Any way mwaka mpya na mambo mapya
 
kwenda huko na wewe,hata km mtu anajiuza wewe inakuhusu nini.....kila mtu si ana kidude chake??wewe cha mwenzio kinakuhusu nini hata akiamua kukata na kutupia kuku hayakuhusu kijana...mind your own damn buzziness...shshshshsssssssssssss!

Duuuu mumeo ana kazi kama umeolewa.........ww umeathirika na maeneo flani uliyokulia kama mwananyamala kwa kopa hivi....

sipendi waluga luga mnaojiona mko important zaidi ya wengine na mna haki ya kuwachagulia watu jinsi ya kuishi....huyo salva si mtu tu kama wewe au ana vinyeo viwili???shxxxsss!

Yoyo mwombe huyu maza msamaha ona alivyochukia. H
 
Fidel achana na huyu dada, hana hata chembe ya busara si unaona anavyotukana nick names! you cana imagine ukikutana nae face to face itakuwaje!
!

hata kumwambia mtu hana busara ni tusi??....sidhani km na wewe ni mtu wa busara kama unavyotaka kujipotray hapa!
 
yes namlaumu mama yako hakukufunza adabu! she is rensponsible kwa upuuzi wowote unaoufanya...

mama yako hanihusu,kama vile huyo dada kalio lake lisivyokuhusu!

ukijidai kujihusisha na ishu za watu,kubali pale watu wakianza kujihusisha na zako!

I see unako elekea kubaya angalia mipako yako.
 
yes namlaumu mama yako hakukufunza adabu! she is rensponsible kwa upuuzi wowote unaoufanya...

mama yako hanihusu,kama vile huyo dada kalio lake lisivyokuhusu!

ukijidai kujihusisha na ishu za watu,kubali pale watu wakianza kujihusisha na zako!

Sheria za Tanzania haziruhusu Sex workers, japo inaonekana mpo wengi!
 
Duuuu mumeo ana kazi kama umeolewa.........ww umeathirika na maeneo flani uliyokulia kama mwananyamala kwa kopa hivi....

Yoyo mwombe huyu maza msamaha ona alivyochukia. H

waliokulia kwa kopa ni watu kama wewe,shukuru mungu kama ulikulia masaki....but that shouldnt make you think you are more important than others....

halafu usimuingize mume wangu humu,at least ana akili and respect kushinda nyie mambwimbwi mnaoshinda mkidhalilisha dada za watu humu!
 
Alijaribu kukuuzia wewe?? una risiti?

Teh teh teh...acha jazba dada yangu,punguza ukali wa maneno yako.Hapa tunabadilishana mawazo tu!hivyo kutofautiana kimtazamo ni jambo la kawaida,kuwa mvumilivu.
 
Rose ehe? Kwani wamekugusa? Mbona unakua mkali dada? Du!yan umevaa uhusika moja kwa moja,kwa nini? Ebu jitulize Rose ucpanic please!sawa rose! Please please! Please again, please!
 
wewe umeingiaje hapo???si ulijidai kujinadi wewe ni mzee wa busara??nyooooooo!

kutokana na kauli zako za ku-support upumbavu, inaonekana ulisha wahi practise aina hii ya business ambayo mwili ndio asset yako! current liabilities ni kununua nguo za mitego, kuoga na kujipodoa, na kutega kwenye kumbi za starehe. But wewe ume-advance kidogo si unaona unafanya hadi online marketing? itumie face book vizuri itakutoa, utawavuna wengi.
 
Jamani acheni uchokozi!Alafu mnashangaa nini...kwani hamjui biashara matangazo??
 
Du! Da rose Mkali jamani mwacheni mbona mnamchokodha? Mtoto wa watu ameamua kuwa mjasiliamali kwa kutumia resources alizonazo sasa nyie mnamtolea mimacho sasa akaibe? Nakuiba ni dhambi yeye kaona atumie mtaji alionao jamani chonde mwacheni mtoto wa watu.
 
kutokana na kauli zako za ku-support upumbavu, inaonekana ulisha wahi practise aina hii ya business ambayo mwili ndio asset yako! current liabilities ni kununua nguo za mitego, kuoga na kujipodoa, na kutega kwenye kumbi za starehe. But wewe ume-advance kidogo si unaona unafanya hadi online marketing? itumie face book vizuri itakutoa, utawavuna wengi.

nasupport upumbavu au napinga upumbavu???mpumbavu ni nani kama sio nyie mnaochukua picta za watu facebook kuzileta hapa na kuanza kudiscuss?.....
halafu koma kunishauri niuzeje kidude changu,hata wewe una chako!!!hizo buziness theories ungeziapply kny kuuza kidude chako,am sure ungewavuna wengi kama ulivyosema!!!
 
Du! Da rose Mkali jamani mwacheni mbona mnamchokodha? Mtoto wa watu ameamua kuwa mjasiliamali kwa kutumia resources alizonazo sasa nyie mnamtolea mimacho sasa akaibe? Nakuiba ni dhambi yeye kaona atumie mtaji alionao jamani chonde mwacheni mtoto wa watu.

yes thats what am talking about!...kila mtu amind buzziness zake!....uone uchungu kisa nauza kidude changu ilihali una chako inahuuuuuuuuuuuu???
 
Sasa unataka kutuharibia bidhaa yetu tunayonunua eeeh
Waache wajiuze unafikiri sisi tutawapataje sasa mkiwafungia kwenye mageti
 
waliokulia kwa kopa ni watu kama wewe,shukuru mungu kama ulikulia masaki....but that shouldnt make you think you are more important than others....

halafu usimuingize mume wangu humu,at least ana akili and respect kushinda nyie mambwimbwi mnaoshinda mkidhalilisha dada za watu humu!
huwezi kuwa na mume wewe......

tatizo lenu nyie wadada wa dar ni kwamba mnapiga mapicha kama hayo then mkishajua kutumia blog mnaziweka kwenye blog zenu afu mnalalamika......
divaaa.jpg

ukishaweka kitu kwenye internet kiuwazi kama vile unategemea nini? yaani wapuuzi kabisa nyie.......i miss ZE UTAMU kudadadeki
 
Attachments

  • divaaa.jpg
    divaaa.jpg
    54.8 KB · Views: 64
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom