Tujiunge tufuge kuku wa mayai

ISAAC11

Member
Jan 12, 2013
94
12
mm nina mtaji ila sina eneo but wanalipa sana vijana wa CCM mje jamani soli za viatu zitaisha njooni tuungane kama unasehemu mie nipo majumbasita njia ya airport
 
Mimi Sina Mtaji Wala Eneo, Ila Nina Malengo Makubwa Zaidi Ya Hayo Uliyonayo!
Naomba Mola Anifanikishe Mimi Na Watu Wengine!
 
utawapata wapi? hayo ni malengo ya mafanikio yako, je unawasaidiaje vijana wenzio hao wa CCM kama ulivyosema katika kujikomboa kifikra nao wawe na uwezo wa kubuni miradi yao kama huo wa kwako?
 
mm nina mtaji ila sina eneo but wanalipa sana vijana wa CCM mje jamani soli za viatu zitaisha njooni tuungane kama unasehemu mie nipo majumbasita njia ya airport

Good idea, toa hata mawasliano yako ili tukutafute
 
Kama uko dar, pwani ama bagamoyo tafuta mtaji. Mie nitakupa eneo bure kwa kuanzia na baadae utalipa kidogo ili usije ukajimilikisha. Im serious.
 
Kama uko dar, pwani ama bagamoyo tafuta mtaji. Mie nitakupa eneo bure kwa kuanzia na baadae utalipa kidogo ili usije ukajimilikisha. Im serious.

Ninakuamini kiongozi...,

Kijana Changamkia Neema Hiyo!
 
mm nina mtaji ila sina eneo but wanalipa sana vijana wa CCM mje jamani soli za viatu zitaisha njooni tuungane kama unasehemu mie nipo majumbasita njia ya airport

Mimi nina eneo kigamboni na Mapinga ila mi na siasa tofauti tusije kwazana hapo
 
Wadau, tunategemea kuwa watu wote wanapoingia katika JF na kutoa mawazo yao basi wanatoa mawazo mahali penye watu wenye fikra pevu!!Lakini inasikitisha kuona upevu wa fikra za Mdau hapo juu(Nas Koba) unaishia kudhani mwenzie anazungumzia mayai ya kiunoni!! Mbona context ya topic inajieleza kadiri ya uzi unavyotiririka, ni mayai ya kuku, lakini Koba ameigeuza post hii ili ikae kingonongono kwa interest yake yeye, je hizo ndo fikra pevu?? Wadau tusaidiane kwa hilo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom