Tujikumbushie movies zilizotukuza in 80s, 90s & early 2000s

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Nakumbuka kipindi hicho tunaangalia Rocky ya Rambo na huku tukijifunza kurukiana mateke baada ya kuangalia bloodsport ya van damme.

Ilikuwa ukitoka kuangalia commando ya arnold na wewe unaenda kutengeneza bunduki za uongo kuwindana.

Lakini maisha hayakwenda bila kuangalia movies za kung fu. Kwa wengi humu najua game of death, tai chi, tiger cage, drunken master zimewakuza.

Tupieni zenu movies
View attachment 2698193View attachment 2698194View attachment 2698195View attachment 2698196
 
Nakumbuka kipindi hicho tunaangalia Rocky ya Rambo na huku tukijifunza kurukiana mateke baada ya kuangalia bloodsport ya van damme.

Ilikuwa ukitoka kuangalia commando ya arnold na wewe unaenda kutengeneza bunduki za uongo kuwindana.

Lakini maisha hayakwenda bila kuangalia movies za kung fu. Kwa wengi humu najua game of death, tai chi, tiger cage, drunken master zimewakuza.

Tupieni zenu movies
Eastern condors
 
Back
Top Bottom