Tujikumbushe Marefa wa zamani

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Wadau, ninakumbuka marefarii wetu waliovuma miaka ya nyuma.

1. Mohamed Nyama- Lindi. Huyu alikuwa mnazi mkubwa sana wa SImba nakumbuka kuna mechi moja ya Simba Vs Yanga aliivuruga kutokana na unazi wake.
2. Joseph Okoth-Arusha
3. Msafiri Mkeremi- Morogoro
4. Idi Almasi (Mwanza) Salim Mbonde alikuwa akimalizi bin dhahabu
5. Joseph Mapunda- Ruvuma
 
Graham Poll wa UK kwenye kombe la dunia kati ya Croatia Vs Australia , alimwonyesha mchezaji mmoja kadi za njano tatu! Hivyo akakosa kuchezesha fainali aliyokuwa ameangiwa lol!
 
Andre Frind
Uls Mayer
Mr Nilsen
Na muhashamu Pierluigi Corlina toka Tuscan Italy.

hawa marefa walikuwa wakichezesha mechi basi mwenye uwezo atashinda, lakini huwezi kukuta longolongo kama za Mike Riley anavyowapendeleaga Manure.
 
Juma Ali David wa Zanzibar

Hafidh Ali wa Zanzibar

Mussa Lyaunga wa Rukwa

Gwaza Mapunda

Omar Abdulkadir

Elizabeth Kalinga wa Mbeya
 
Charles Damson wa Mbeya. Huyu ilibidi atolewe nje ya uwanja kwa gari ya polisi akiwa amevalishwa yunifomu za askari polisi. Wakati washabiki wenye hasira wakiwa bado wanamsubiri mlangoni ili wampe kichapo huku wakidhani atatoka kwa mavazi ya kawaida au ya kirefarii, ujanja ulitumika kwa 'kumuazima' nguo hizo za kipolisi na hakuna hata mshabiki aliyegundua, hadi baadaye baada ya giza kuingia na wakaambiwa alishatolewa zamani!
 
Hii mkuu ilikuwa kiboko,duuh!!
 
Back
Top Bottom