Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

Tiba jembe!ila kuna viaskari vidogo vilitisha sana uswahilini!!!MKAMASHAPU,TEKELO na JITI LA MUHOGO!pande za DSM,pale ujiji m'nyamala kulikuwa na DAVE!sasa hivi kuna pimbi mmoja Kinondoni wa kuitwa SWAI!
Pale Morogoro mji kasoro bahari palikuwa na afande mmoja anaitwa Sabasita huyu jamaa nuksi.

Ndio aliyemuua marehemu JB.
 
Paul Ntobi , Mara
Ha ha ha huyu tatizo aligeuka akawa kama promota matamasha yote ya wasaniii musoma akawa ye ndo promota...angeendelea angeanzisha hata fiesta yake musoma,ila yule binti yake Karunde Ntobi alimchomeka kua askari alikua amejaaliwa....
 
Detective Cpl Nkwabi- Kigoma mjini.
Alikuwa hatari sana huyu mtu hata uwe na vidono mwili mzima huchomoki kwake.

Detective Sunday aka Kama Dog- Kasulu mjini weka mbali na majambazi.

A/Insp Julius aka Ras alpha & omega kwa any Criminals..
 
Hao wote walikuwa wezi maana uwazi na utawala bora haukuwepo,

Kuna ka ukweli fulani.

Isipokuwa huyo Venance Tossi.
Mana nadhani ndiye aliyepunguza suala la ujambazi Kilimanjaro na utekaji wa mabasi mkoa wa Kagera baada ya kukataa kushirikiana na mitandao ya waovu.
Huyu jamaa hana mali zinazozidi kipato chake.
Tofauti na hao wengine. Wengine kwa kweli bado Wanatia shaka za kiuadilifu kulingana na mali walizojilimbikizia.
 
Back
Top Bottom