Tujikumbushe Makamanda wa Polisi waliovuma enzi hizooo...

Mwenye kumkumbuka yule kamanda aliyeshitakiwa mpiga Picha Wa gazeti la Mfanyakazi aitwae senga, senga alikuwa akitetewa drmasumbuko lamwai
 
kuna mwamnyange alikuwaga msemaji wa jeshi la polisi sijui yuko wapi siku hizi mzee anapiga vyombo sana
 
MASINDOKI MASINDOKI
jamaa ambae alimkazia mahita kuwaachia arsenal, walimtolea jeuri kuwa wanaongea na mfuga mbwa
 
Back
Top Bottom