CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Kumbe na wewe ni mchezaji ehee!kumbe ndio hivyo ngoja nipunguze dozi ya ndumu.. kuanzia sasa... RIP kaka P mafisango..
Maana jamaa kawaongelea wachezaji!
Joking teh teh teh!
Kumbe na wewe ni mchezaji ehee!kumbe ndio hivyo ngoja nipunguze dozi ya ndumu.. kuanzia sasa... RIP kaka P mafisango..
Pengine ntakuwa si mwingi wa rehema
kukaa kimya kwa hili lililomkuta kaka yangu rafiki yangu kipenzi p mafisango
pengine waweza jiuliza ilikuwaje nikaandika hili lakini nimewiwa kuandika hili
kama fundisho kwa wengine....
Mafisango p ni rafiki yangu mkubwa na kama mimi nimekuwa nikitoa mawazo pale ninapoweza kuyatoa na kumwachia mwenyewe mengine
kama tujuavyo kwa watanzania wanasema kila kifo ni mapenzi ya mungu lakini mi sikubaliani na hilo ninaposoma biblia maisha ya mwadamu ni miaka 70 ikiongezeka ni baraka za mungu sasa basi mwenye akili utajua hata kama ni ...nahisi baba au mama aliondoka chini ya 70 basi huyo ni shetani na msimsingizie mungu hata kidogo soma biblia inaeleza wazi...so kwa ujumla utaona kaka ameondoka chini ya 70 na hilo linakujulisha si mapenzi ya mungu!!!!!
Turudi kwenye wito kwa wachezaji
sipendi kuzungumzia sana maisha ya p mafisango ila napenda nieleze kaka ameondoka akiwa hoi bin taabani na pombe na hata waliokuwa muhimbili mmoja wapo ni ndugu yangu ambaye aluhuzunika sana sana...sikatai kunywa ila ni vyema mkiwa mko free jueni maisha ni akili na mpira ni nidhamu
sisemi vibaya kwa kaka yangu kama sijakosea hana miezi mitatu kocha alilalamika sana sana kuhusu unywaji wake pale alipoleta zogo na viongozi ingawa alikuwa na haki kulalamika lakini sio kwenda kulalama uongozini akiwa kalewa...ni kocha alisema na kutoa wazo jamani kama mnamruhusu mafisango basi akija mwingine kalewa naomba msinihusishe na hili muendelee kuwalea mtakavyo
sasa basi pengine alipotua alipewa vijisenti ila kama ana ndoa ama mke na kwenda kuishia club wakati mkewe amekaa nyumabni basi sio sawa hata kidogo ..naomba niliweke wazi hilo....kama mlivyosoma ndani ya gari kulikuwa na wanawake wawili na wanaume watatu na mmoja wa ndugu yake aliulizwa akasema ajui mwanamke aklieekuwa mbele ni nani wake tangu waclub
ndugu zanguni wachezaji mjilinde mjiepushe na tamaa za dunia tunawapenda tunawajali kwa kodi zetu tunazoleta hapoo kwenye harambee zenu msituhuzunishe ..natumaini wale
yaani hata wa zamani wengi wao walikuwa hivihivi tu ukiondoa wachache waliokuwa na nidhamu kama zamoyoni mogella...!Kwa wachezaji wetu wa kibongo habari hii ni sawa na kumpigia mbuzi gitaaaa
Nadhani wamesikia
Mmmmmmh_inasadikiwa Yesu alikufa akiwa na age ya 33 tu,...hope shetani hausiki hapa..na watoto wadogo je?...hapa kuna harufu ya upotoshaji wa kilokole kama kawaida yake,...ila nimeipenda sana the whole thread...inafundisha...anyway r.i.p young nigga.

Mungu???yani mungu anapigwa bakora kama kibaka???Mkuu miaka sabini ni kwa wanadamu kumbuka Yesu ni MUNGU si binadamu kama wewe na mimi na anaishi milele alishinda mauti utake usitake.
Mungu???yani mungu anapigwa bakora kama kibaka???
wasiopenda kuona ukweli ukitawala watakupinga mkuu ila huu ujumbe hapa ni mahala pake na umeuleta wakati muafaka.utawasaidie wengine kujiepusha na tabia zinazokatiza maisha yao mapema
Mi ndo natoka kugonga sa izi bt nna akili timamu.Nna msongo mkuuNijuavyo mimi ulevi mwisho wake ni kifo cha aibu so ni vyema kila mtu kuwa makini sana juu ya ulevi.
Mungu???yani mungu anapigwa bakora kama kibaka???
kweli mnazareti alipigwa kama mwizi ili mi nawe tuweze kupona,nashukuru umekiri kwamba alipigwa akafa akafufuka mashetwani wenzio hawakubali hii niko tayari kwa ban for Jesuss sake,the begotten son.Toa upuuzi wako hapa!!.