Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 1,842
- 1,700
Kadri miaka inavyozidi kwenda mbele ndivyo ujinga wa mtu mweusi unajidhihirisha wazi pasi kuacha shaka,watu weupe ndio maana huwa ona kama monkey.
Kaburu Botha alisha sema muda mrefu sana kwamba "Mwafrika hawezi kujitawala"
"Kuna Karne itafika kwa wajinga kuwa viongozi na werevu kuwa wafuasi nadhani Karne yenyewe ndo hii"Shaaban Robert
"Upumbavu ni kipaji kama ilivyo ufupi na urefu ,huwezi muelimisha mpumbavu akaacha upumbavu wake"Mwl.Nyerere.
Watanzania kwa sasa wapo katika kiwango cha upumbavu na sio ujinga,huwezi weka imani kwa vilaza na mazuzu kuleta mageuzi ya kiuchumi, kisiasa na kijamii pasi kuacha sayansi na teknolijia.
Mkuu wewe sio Muafrika? Mbona wajitukana? Tuonyesha ulichofanya tofauti kuhusu hoja hii kuonyesha wenzako ni kima wewe ndio Muafrika pekee?
Mkuu usitukane waafrika wote kwa mapungufu ya wenzao wachache! Ubuntu!