tujadili kwa pamoja.

carter

JF-Expert Member
Jan 23, 2009
3,664
4,249
Helo wadau wa hapa,

ni matumaini mko poa na mnaendelea vizuri kwa michakato yenu ya kila siku.

kwenye topiki moja kwa moja sasa, kuna tabia flani inanitatiza kidogo hasa kwetu wanaume ndo nimezoea kushuhudia kuna watu hawawezi kumtongoza msichana alie single! Yan had pale mtu atakapoona msichana ana date na flan na yeye ndio anajipenyeza hapo hapo na kuanza kumuimbisha mtoto wa kike.

mfano unaweza kuta msichana ni wa mtaani kwako,au unasoma nae au ni mfanyakazi mwenzako na uko nae kila siku kwa stori za kawaida tu..ila unapoona kuna kidume anamyemelea na wewe ndio unapata gear ya kuanza kumtaka kimapenzi. Hapo huwa sielewi imekaaje hii? Hivi ni katabia au ni tatizo la kisaikolojia linalopelekea watu kutongoza wake,wachumba na ma girlfriend wa watu tu?

nimeshakutana na situation kama hizo nyingi sana..kama mdau na wewe ulisha experience kitu kama hii hebu tujadili kwa pamoja huwa ni nini kina wa drive watu ku chase wanawake ambao wako occupied il hali time hao kina dada wakiwa single wanawaacha tu wanasubir had wawe na wapenz ndio wanaanza kuonesha feelings zao?

karibuni...
 
hapa bila kumumunya maneno haka katabia unacho ww.

1. huwa hujiamin so unapoona mtu kamtokea/ mtongoza huyo dem ndo na ww unapata nguvu ukijisemea moyoni "kumbe anaingilika"
2. hii tabia yako ukiendelea nayo yatakukuta ya kina U4 na wengine, coz kusarandia wake/ wachumba wa watu nouma
 
Hizo justification zako umezitoa wap ndugu? Hivi unajua ni kwanin nimeleta huu uzi hapa?...
 
Ila wadada nao hawasemagi ukweli, unamfuata anakubariki na mikono miwili hakatai
 
Helo wadau wa hapa,

ni matumaini mko poa na mnaendelea vizuri kwa michakato yenu ya kila siku.

kwenye topiki moja kwa moja sasa, kuna tabia flani inanitatiza kidogo hasa kwetu wanaume ndo nimezoea kushuhudia kuna watu hawawezi kumtongoza msichana alie single! Yan had pale mtu atakapoona msichana ana date na flan na yeye ndio anajipenyeza hapo hapo na kuanza kumuimbisha mtoto wa kike.

mfano unaweza kuta msichana ni wa mtaani kwako,au unasoma nae au ni mfanyakazi mwenzako na uko nae kila siku kwa stori za kawaida tu..ila unapoona kuna kidume anamyemelea na wewe ndio unapata gear ya kuanza kumtaka kimapenzi. Hapo huwa sielewi imekaaje hii? Hivi ni katabia au ni tatizo la kisaikolojia linalopelekea watu kutongoza wake,wachumba na ma girlfriend wa watu tu?

nimeshakutana na situation kama hizo nyingi sana..kama mdau na wewe ulisha experience kitu kama hii hebu tujadili kwa pamoja huwa ni nini kina wa drive watu ku chase wanawake ambao wako occupied il hali time hao kina dada wakiwa single wanawaacha tu wanasubir had wawe na wapenz ndio wanaanza kuonesha feelings zao?

karibuni...

utakuwa huna lolote cha zaidi ulikuwa unamtamani sema domo ayeya zege kilo mia..
 
Ila wadada nao hawasemagi ukweli, unamfuata anakubariki na mikono miwili hakatai

Hapa siongelei msichana anaedanganya kuwa hayuko kwenye mahusiano...naongelea msichana unaemuona na mtu wake daily then ndo unaanza kumsaundisha.
 
utakuwa huna lolote cha zaidi ulikuwa unamtamani sema domo ayeya zege kilo mia..

Kama ishu ni udomo zege inakuwaje mtu anapata courage ya kusaundisha mwanadada akishakuwa occupied?
 
Back
Top Bottom