bullet
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 1,047
- 540
Kama miaka miwili au zaidi kidogo kulikuwa na maswali mengi kuhusu magari ya Nissan X-trail, wengine wakiyaponda na wengine wakisema ni magari mazuri.
Kwa siku za karibuni maswali yamepungua na Nissan X-trail zinazidi kuwa nyingi mtaani. Je, watumiaji wamegundua mahitaji yake kwa sasa na ndio maana maswali na malalamiko yamepungua huku magari hayo yakizidi kuwa mengi barabarani?
=====
Hoja za wadau

Haina tatizo na haijawai kuwa na tatizo na ndio maana ipo sokoni tangu mwaka 2001.
Tatizo ni wagonga vyuma na wafungua nati wa Tanzania, ikija gari yenye mifumo mipya inatumika kama training device (kifaa cha mafunzo).
Kama huamini waulize wapiga nyundo kuhusu injini za D4D utasikia hamna kitu mule hazifai.
Saizi unaziona nyingi mtaani xtrail kwakuwa wagonga nyundo wameshaua za kutosha kupata uzoefu wa kuzi mantain. Otherwise X trail is one of the best SUV
Saizi kuna hybrid cars. Uliza mtu hapa usikie, kashifa na matatizo yake yoye hapa ya kubumba.