Tuingie tusiingie?????all teh best waanandoa wa kesho

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wakati watu waliokuwemo kwenye ndoaa uchunguzi umeonyesha wengi wanatamani kutoka
huko kwa namna yoyote ilihali wawe huru pamoja na kutoka kuna wengine wanafikiria je nikitka
ntaweza kuolewa tena na kama nikikosa talaka si naishia kwa wazazi haya maswali namengine ndio
yanafanya wabnandoa wengi kuamua kufia kwenye ndoa za mavumiliano

pamoja na hao wanaotka akutoka ukweli unazidi kuongezeka na kusema walio nje wengi wanatamani
kuingia kwenye ndoa na pengine wengine wanaenda mpaka kwa waganga kupata watu wa kuwaoa
unaweza jua jinsi gani kama tungeruhusiwa kirahisi kuingia kwenye ndoa na kutoka sijui na w ewe leo
ungekuwa wapi ??

Hata hivyo bado wachunguzi wanasema uwezekano wa kuishi maisha ya furaha na amani ni makubwa
zaidi kinachowasumbua watu ni malengo ya kuoana ;wakati kuna watu wengi hivisasa naomba mnisamehe
wengi ni wanawake wakitamani kuolewa just kuondoa gundu ..nikiwa kazini sehemu walitokea wanawake watatu
siku mbili kabkla ya harusi wakasema hivi unapataje jamanai mtu wa kumwoa sie wengine tunatamani hata
ndoa za masaa tu tuachane kesho asbh..so unaweza jua utamjuaje w aaina hii ni ngumu sana kinachotakiwa
ni maombi yako kwa mungu..usijaribu kuogopa ingia najua kuna kundi linajiuliza niingie nisiingie ingia
swala ni jinsi gani unavyoingia ama jinsi gani ya kutunza ndoa yako

kuoa ama kuolewa sio tatizo swala ni jinsi gani ya kutunza hiyo ndoa idumu na kuishi kwa furaha
angaalizo usiombe mungu just kuwa na mwenzangu utaolewa na majini nayo yanajibadilisha na mwisho
unamgeuka mungu ndoa gani hii omba mke ama mume aliesahihi kutoka kwa mungu

all the best wanandoa wote siku ya kesho

hon:pdidy
 
mmmmmh siku ndoa yako ikienda arijojo Pdidy,sijui utatuletea makala gani manake ulivyozama mzima mzima sijui utatokaje lol wenzio tunapenda 75% nyingine tunajiachia,wewe mwenzetu kila leo na mada za ndoa inaonyesha ulivyozama mzima mzima lol
 
ombeni msiingie majaribuni ni vizuri uombe usiingie majaribuni kuliko ukiinigia kutoka utaitaji neema ya Mungu kubwa kutoka huko
kazi kwako
 
mmmmmh siku ndoa yako ikienda arijojo Pdidy,sijui utatuletea makala gani manake ulivyozama mzima mzima sijui utatokaje lol wenzio tunapenda 75% nyingine tunajiachia,wewe mwenzetu kila leo na mada za ndoa inaonyesha ulivyozama mzima mzima lol

justina Bora uamini Mungu yuko siku ya Mwisho ukimkosa hutokuwa na madhara kuliko uamini alafu sikuya Mwisho ukamwona nakwambia akuna rangi utakaoyoacha kuiona
kagudnty
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom