Tuhuma za Ufisadi alizoibua Nape: Mwita Waitara ajiengua UVCCM, adai amedhalilishwa

hakuna haja ya kumlaumu kijana mwita au kumhukumu kwa kigezo cha aliyofanya akiwa daruso, kwa sasa ameonyesha njia, ni nani huko ccm ukiacha nape, aloyce kimaro, ana kilango anaweza kuwakemea akina lowasa na mafisadi wengine?

kwa kuwa huyu naye ameungana na kundi lilo jema ni vema aktuzwa kwa ushujaa wake, na kwa kusahau yaliyopita, je kama ameamua kuongoka kama Mtume Paul je?
 
Kijana Mwita alikuwa dhambini na sasa anatubu na kuongoka .Ndiyo maana hata Kristo akaja hatukuelewa akafa pale msalabani na bado tunaona maajabu .Maisha ni historia na yeye anayo ya kwake .Sasa cha muhimu asimamie hayo anayo yasema leo na isije ikawa mambo ya akina Wasira na Njelu tena .
 
Humjui MWITA!Huyo ndo fisadi kabisa anajua aliyoyafanya alivyokuwa Raisi wa DARUSO pale mlimani!hapo anatapatapa tu!lakini kutapatapa kwake at least kunasaidia kukosoa chama chake!ila na yeye ni walewale nakuambia asingehamishwa kutoka Dar kwenda kuwa katibu wa UV-CCM Tanga wala asingemtetea Nape!Na sasa anasema hayo kutokana na hasira ya kurudishwa tena Dar kuwa katibu msaidizi wa Nchimbi
First LADY NANI ASIYEJUA KUWA WEWE KIBARAKA WA NCHIMBI, HEBU TUTAJIE HUO UFISADI WA WAITARA, WEWE NI MMOJA WA WALE WANAO PINGANA NA VITA DHIDI YA UFISADI, WAITARA SONGA MBELE HIYO NDIYO NJIA HUKO KWINGINE ULIPOTEA
 
Huyu ex Raisi wa DARUSO hana jipya kakosa vyeo alivyovitaka ndo maana!kwa nini wakati kampeni zinaaanza hakusema hayo?hamna kitu wewe MWITA MWIKWABE!uchu wa madaraka ndo unakufanya ulielie!
...No First Lady hapo si uchu wa madaraka kama umesoma hiyo habari anachopinga Mwita ni kupelekwa Makao makuu ma kuwa msaidizi wa Nchimbi....Unadhani angebaki Tanga na wadhifa wake aliokuwa nao angelalamika?

Bravo Mwitra enzi za kunyenyekea vivuli vya binadamu wenzetu hazipo tena.
 
Habari wana Jamii.

nakaribia katika jamvi baada ya kua msomaji kwa muda mrefu nimeona nami nipate fursa ya kua mchangiaji.

Mwita kwa alichofanya si jambo la ajabu kwani wanomfahamu ajali alopata mwaka jana ya pikipiki mpaka akalazwa muhimbili kwa miezi mitatu wanaweza kuelewa kua ajali ile ilimsababishia tatizo la akili so anayoya sema na kutenda naamini ni matokeo ya kuchanganyikiwa kwakwe baada ya ajali ile.
 
....Karibu sana mkuu. Lakini kwa hilo napenda kutofautiana na wewe. Mbona habari inajieleza wandugu nyie mnakazania kumtoa Mwita kwenye mstari?? Haya kwa nyie mnaomfahamu mimi nimekutana nae magazetini tu lakini maelezo yake yanajitosheleza kabisa juu ya msimamo wake....
 
...No First Lady hapo si uchu wa madaraka kama umesoma hiyo habari anachopinga Mwita ni kupelekwa Makao makuu ma kuwa msaidizi wa Nchimbi....Unadhani angebaki Tanga na wadhifa wake aliokuwa nao angelalamika?

Bravo Mwitra enzi za kunyenyekea vivuli vya binadamu wenzetu hazipo tena.

Anaposema akawe mtenga cha wa Nchimbi anamaanisha nini?Kweli kama ameamua kukitumikia Chama yeye akishushwa cheo mbona ananuna?
 
Hata kama jamii inaona anachosema ni kweli basi nadhani yeye na wengine humu tumepoteza tafsiri ya Chama na sasa tunamfanya mtu kuwa na wasifu wa Chama. Ninampinga yeye binafsi kwani njia aliyoitumia haimjengi yeye kama Mwita lakini kibaya zaidi anathibitisha kuwa yeye si mtu wa utaratibu na asiye tayari kukosolewa na kwa maelezo yake ameonyesha wazi yeye anatawaliwa na mob saikoloji. Ni hatari kuwa na kiongozi anayesukumwa na hadhira baadala ya yeye ku study hadhira na kuiongoza ktk dira sahihi na siyo kukurupuka, ufisadi ni agenda ya dunia hivyo inataka hekima unapoijadili mbele ya familia yako maana unaweza ukajikuta unamtukana babako tena hadharani.

CCM na Jumuiya zake wana utaratibu wa kuhojiana, kutofautiana na mwisho muafaka kwa maslahi ya chama na nchi, iweje kada kama Mwita ajiondoe ktk mstari huo na kuitumia Tarime kama mahala pa kugomea nafasi yake mpya ya usaidizi wa M/kiti eti kwa njozi za kuwepo kwa mazingira ya kutimuliwa baadaye?!!!!!

Hapa hatuna kiongozi ndani ya Mwita zaidi ya upayukaji usio na tija wala kuheshimu mipaka.

Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Anaposema akawe mtenga cha wa Nchimbi anamaanisha nini?Kweli kama ameamua kukitumikia Chama yeye akishushwa cheo mbona ananuna?
...Fisrt Lady read between lines please...katika katiba ya Umoja wa vijana CCM hakuna huo wadhifa aliotakiwa kwenda kutumikia Mwita makao makuu. Na sitaki kuamini kuwa ukipewa demotion basi unatengenezewa tu nafasi fulani ili uwepo wepo tu. Jamani si unaanza sergent ndio unakuwa staff sergent hata ukiteremshwa cheo utarudi chini through same channel...

Hata kama ni demotion are you sure kuwa alielezwa kosa lake na kupewa nafasi ya kujitetea hatimaye kuonekana mkosefu na kuwa adhibiwe?
 
Sasa hapo ndo amekosea amepewa hiyo barua akiwa huko Tarime sasa angetumia busara na kuongea na chama chake!sio kupayuka kwa waandishi wa habari na kusema maneno kama aliyosema!Hapo amekosea sana na atajutia sana huo uropokaji wake!
 
Kwa nini asubiri mpaka akaongee ndani ya chama? Tangu lini freedom of speech ya Watanzania ikapunuguzwa na chama cha mafisadi? Mtanzania yeyote yule hata kama ni mwanachama wa chama cha mafisadi ana haki ya kuzungumza popote pale. Watu wameshamshusha cheo halafu akae kimya asubiri akazungumze ndani ya chama!!! Hizi 'protocol' nyingine zimepitwa na wakati!!! tuko 2008 na siyo mwaka 47!!!
 
hata kama jamii inaona anachosema ni kweli basi nadhani yeye na wengine humu tumepoteza tafsiri ya chama na sasa tunamfanya mtu kuwa na wasifu wa chama. Ninampinga yeye binafsi kwani njia aliyoitumia haimjengi yeye kama mwita lakini kibaya zaidi anathibitisha kuwa yeye si mtu wa utaratibu na asiye tayari kukosolewa na kwa maelezo yake ameonyesha wazi yeye anatawaliwa na mob saikoloji. Ni hatari kuwa na kiongozi anayesukumwa na hadhira baadala ya yeye ku study hadhira na kuiongoza ktk dira sahihi na siyo kukurupuka, ufisadi ni agenda ya dunia hivyo inataka hekima unapoijadili mbele ya familia yako maana unaweza ukajikuta unamtukana babako tena hadharani.

Ccm na jumuiya zake wana utaratibu wa kuhojiana, kutofautiana na mwisho muafaka kwa maslahi ya chama na nchi, iweje kada kama mwita ajiondoe ktk mstari huo na kuitumia tarime kama mahala pa kugomea nafasi yake mpya ya usaidizi wa m/kiti eti kwa njozi za kuwepo kwa mazingira ya kutimuliwa baadaye?!!!!!

Hapa hatuna kiongozi ndani ya mwita zaidi ya upayukaji usio na tija wala kuheshimu mipaka.

Kidumu chama cha mapinduzi.
tafsiri ya ya chama mmeipoteza na nani? Ulitakiwa kusema wewe pekeyako na mafisadi umepoteza tafsiri ya ccm kwa kusema kidumu chama cha mapinduzi badala ya kigumu chama cha mafisadi hiyo ndiyo tafsiri harisi ya ccm. Halafu sioni ajabu unapo sema waitare si kiongozi maana kwenu yeyote anaye gusa ufisadi si kiongozi anaye faa ndani ccm chama cha mafisadi kiongozi ndani ya chama chenu ni yule anaye utetea ufisadi kwa nguvu zake zote. Hapo umechemka
 
wakuu

siku zote nimekuwa nikiitetea CCM,najua mapungufu yao ila huu ni uzugaji ambao watanzania wanataka kuingia mkenge.Mwanakiji alishaonya kwamba mwaka huu watuzuge tukazugika ila mmeshakubali kufungwa bao lingine la kisigino.

connecting to the Dot is Mwita liingizwa kwenye Siasa na Mzee Kngunge who also recomend Makamba to be CCM General Secreatary which implies that they know each others.

Hii ni mbinu ya kupunguza nguvu ya Upinzani Tarime.Sijaipenda hii njia waliyoitumia kwa wiki hii.Najua CCM itashinda ili kwa njia hii walipotoka na nawasikitikia wale ambao wmechukulia kweli.

ila ole wenu CHADEMA kama mkiamua kumchukua huyu kijana ambaye wakati akiwa Rais amewaongoza baadhi ya vijana wa CHADEMA,hivyo kama mko tayari kumchukua msubiri yale yale ya kina Hizza.ni watu wa aina ya kina hizza na akwilombe.
 
Heshima yako mkulu.
nadhani kwa hapo unatuyumbisha kidogo.kwakweli haiingii akilini kabisaa kusema kuwa hii ni mbinu ya kupunguza nguvu ya upinzani tarime.mkuu hivi umefika tarime ukashuhudia yanayojiri au unasubiri kusoma magazeti?kitu cha muhimu kujua ni kuwa tarime ni jimbo lenye siasa za namna yake.na ni ukweli uliodhahiri kuwa ccm wanajua kuwa hawana uhakika wa ushindi jimboni tarime kwahiyo utaona kuwa wameleta tarime kila aina ya silaha wanayoamini kuwa itawasaidia.ndio maana unaona wamekuja hata na magobore akina akwilombe, hiza na ngawaiya.joto la tarime wameshalijua ndio sababu sasa mara unasikia mungiki wameingia tarime, mara unasikia zito anactoa maneno ya uchochezi lakini mtikila kwao safi!kama ngeleja anaacha kushughulikia suala la kitaifa baada ya tanesco kutangaza mgao wa umeme, badala yake anaklwenda nyamongo kwenye kampeni unategemea nini?wanamtumia ili awarubuni wakaazi wa jirani na mgodi wa north mara kuwa yeye kama waziri atahakikisha blabla kadhaa zinrekebishwa.
kwahiyo mkulu hapo umepotoka vinginevyo ni katika kuendelea kukitetea chama chenu cha mafisadi.Mwita hajafanya lolote la kuivunja nguvu ya upinzani hususani chadema,labda hao wengine wanaojikongoja.
 
i!kama ngeleja anaacha kushughulikia suala la kitaifa baada ya tanesco kutangaza mgao wa umeme, badala yake anaklwenda nyamongo kwenye kampeni unategemea nini?.

Hayo mambo ya magazeti,Kwa taarifa yako tu wakati tatizo la umeme linaanza Ngelje alikuwapo DAr na alilshughulikia ipasavyo.

any way..siyo lazima mtu kukubali kile ninachokijua sababu ulishazoea kuzungwa na kupofushwa na moshi wa Mwenge .
Mwita opportunist.Yes they have said and am saying once again.
 
.
Ninampinga yeye binafsi kwani njia aliyoitumia haimjengi yeye kama Mwita

Ni hatari kuwa na kiongozi anayesukumwa na hadhira baadala ya yeye ku study hadhira

CCM na Jumuiya zake wana utaratibu wa kuhojiana, kutofautiana na mwisho muafaka kwa maslahi ya chama

mkulu kwakweli hapo umeyumba sana.
ni ukweli ulio wazi kuwa njia aliyoitumia inamjenga sana yeye binafsi kuliko kukijenga ccm,kwakuwa ccm haitaki wajenzi sasahivi bali inakumbatia wale wanaoitumia kuendesha ufisadi.

haiwezi kuwa hatari kwa kiongozi kusukumwa na hadhira.Hujawahi kusikia kuwa Bill Clintin wakati akiwa rais wa marekani alikuwa akiacha kusoma hotuba aliyoandaliwa na badala yake anatoa hotuba kutokana na namna anavyoisoma hadhira?ndugu yangu ni muhimu sana kuzungumza na hadhira inayokuelewa.Kila siku hapa tunawawashauri viongozi kuwa wawe wanasoma alama za nyakati.
ccm na jumuiya zake hawana utaratibu wowote wa maana zaidi ya kuitana wendawazimu na kufukuzana uanachma pale wanapoambiwa ukweli.
 
Kama CHADEMA WALIVUMSIMAMISHA WANGWE alipowaambia ukweli!
 
Huyu Mwita ni fisadi kama mafisadi wengine ila wamepishana jinsi ya kukomba mboga bakulini tu.
Kilichompeleka sisiemu ni nini? pamoja na usomi wake alikuwa hajui kinachoendelea huko?
Alidhani atafanikiwa kisiasa kwa kushirikiana na wezi?
Ni afadhali kaona mwenyewe mchana kweupe!!!!!!! na abaki akijilaumu.
Sishauri vyama vya upinzani kuchukua makapi kama haya maana hawa ni viruka njia watafutao madaraka tu. Kesho utamsikia akisema naona sera za sisiemu ni nzuri kwa hiyo nimeamua kurudi nyumbani na watampokea kwa kelele za shangwe.
Achana naye. Wacha wapambane na fisadi mwenzie Nchimbi.
 
Mimi nakushauri Mwita kama mwalimu mwenzako, nimekutangulia kwenye fani lakini walimu wote ni ndugu, sasa mdogo wangu nisikilize. Kwanza hongera kwa kusimama imara, ndivyo binadamu wanavyoheshimika kwa kusimamia jambo ambalo ni morally right. Dhamira yako imekutuma kuwa haifai kudhalilika na kwenda kuwa karani wa Nchimbi, basi fuata dhamiri hiyo. Ukirudi nyuma hatua moja tu katika hilo, utadhalilika sana. Kaza uzi dogo.

Una wasiwasi utakula nini ama utavaa nini? Hilo wala lisikupe hofu, unayo taaluma, hebu tafuta shule ufundishe kwa muda fulani hadi "vumbi" hili litulie, huko endelea na homework ya kujifanyia SWOT analysis. Karudie kusoma tena "Gibb's Reflective cycle", uitumie katika tafakuri yako. Weka majibu yako vizuri na jipangie mkakati na ratiba ya kufanyia kazi utakachokuwa umegundua katika kipindi hiki utakachokuwa kwenye "refractory period".

Nakutakia kila la heri.
 
Back
Top Bottom