Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,633
Mange nadhani zake zitafika tu wala hataweza kujificha mda wote mwisho wa siku atasema yote haya kwa ujinga huu anaofanya.
Ni kweli mkuu hutakiwi kumwamini binadamu yoyote na ndio mana nimegoma kumwamini huyo Mange. Hapa ndhani utakubaliana na mm kuwa hata Mange wewe pia huwezi kumwamini. Naamini pia hata huyo mtuhumiwa akikubali au kukataa hutamwamini kwa chochote.Kwahiyo hivyo ulivyotaja ndio vipimo vya ukweli?Wangapi wanafake tabasamu!Ninachosema hapa,huwezi jua kama ni kweli au hapana!Usimwamini binadamu yoyote,everyone is capable of anything,u just hav to push them to their limits of tolerence!
Kwani nani kakukataza siunde ukamdake aisee.
provided kama hela unayo wapo ma International assassin for hire,ni pesa zako tu utawapata iwe mexico ama humohumo US of Adah!!hivi bongo kuna ma assassin pia?
hesabu zinakuwa ngumu,kupeleka assassin kwenye ardhi ya Trump,jamaa mwenyewe mtata halafu soo libumbuluke! Trump will trap us
Bahati mbaya wakanushaji huwa hawaji na hoja thabiti na vielelezo vya maana Kupinga uongo wa uyu bibie,zaidi zaidi wanalaumu laumu tu...!! Hata hivyo usisahau kuwa huyu ni mmoja wao! Mwenzao alikua kwenye kundi laoHivi Huyo Mdada Ni Taarifa Gani Amewahi Kuandika Zikawa Kweli ?
Serikali ni chombo kibaya sanakakiripoti CIA/FBI kakapata ulinzi kama everine chahar
Kuwa mpole,dk moja mbele wanaweza kanusha!Hawatabiriki kabisa,unakumbuka walivyokanusha taarifa ya mange juu ya makamu wa Rais?Ikulu haina kazi ya kila siku kukanusha utumbo na upuuzi, badala ya kuchapa kazi. atakuja kujibu yote siku moja ikifika.
Kamkamateni basi mbona kelele mingi matendo zero.Hawezi Kushindna na Ikulu au Raisi hta siku moja
Kmbuka RAIS ana Dola, Jeshi, Kodi, Mahakama nk!
Je Yy ana nn? Ukiona hvyo hawajamuamulia tuu coz n mtu mdgo sna mbele ya Hii TEAM ya
Field Marshall "Mwigulu Nchemba"
~Cmb
.. Kwamba raia wa marekani anaandika udaku wa Tz... Mbona Marekani ni nchi kubwa na ina watu maarafu wengi.. anashindwaje kudeal na watu wa huko?Sasa kama ni raia wa Marekani huu ushankupe wake anauleta wa nini huku? Kwanini asiongelee mambo ya Marekani. Kinachokera zaidi anachoongea hakina ukweli na hana uhakika nacho ila anatafuta sifa za kijinga.
Hapana,niko nusunusu!Inaweza kuwa kweli au uongoKwa hiyo wewe unaamini huo uzushi na uongo?
Hata vitabu vinasema ukishindwa kuiongoza familia yako there is no way utaweza kuongoza wengine.....Anavyoishi maisha yake binafsi nadhani ni binafsi, iwe kweli isiwe kweli, concern yetu ni jinsi anavyo run nchi, sio familia yake
Kama mke amepigwa, akamtembelea hospitali wakaombana msamaha yakaisha, sio business yetu hiyo
let Magufulis handle it
... hizi ni tuhuma nzito ambazo mwenye akili timamu kwa mtu mwenye nafasi hata ya uDC tu hawezi fanya ujinga hue, sembuse rais wa nchi?
...
Kuwa mpole,dk moja mbele wanaweza kanusha!Hawatabiriki kabisa,unakumbuka walivyokanusha taarifa ya mange juu ya makamu wa Rais?
Unakosea. Kama ni kweli hayo yanayosemwa na Mange yanatuhusu sana. Unajua kuna tuhuma za kifo hapo?Anavyoishi maisha yake binafsi nadhani ni binafsi, iwe kweli isiwe kweli, concern yetu ni jinsi anavyo run nchi, sio familia yake
Kama mke amepigwa, akamtembelea hospitali wakaombana msamaha yakaisha, sio business yetu hiyo
let Magufulis handle it
Shukrani sana mkuu!naviziaga sana michango yako GT
kwa hiyo mkuu ulitaka mama aonesha majeraha pale hosp muhimbili??Hata akili ya kawaida tu hauwezi kuamini, kwanza Mama Janet hakua na jeraha lolote wakati akiwa hospital wala kuonekana amevimba sehemu, na hata alipotoka hospital alikua katika tabasamu lake kama alivyo siku zote na ameendelea na majukumu yake kama kawaida. Kuhusu mtoto huo ndo ujinga uliokubuhu hata siwezi kuuongelea.
watu wa media ndio hawajui kazi yao hasa kutafuta habari za kiuchunguzi. Ni rahisi kupata ukweli wa hili hasa ukizingatia kuna upande unao dhurumiwa kama ni kweli.Jitahidi sana, kila unalolisikia ulifanyie uchunguzi, usifikiri yeye anaota hizo habari anazokupeni. Usipende kupuuzia vitu kwa sababu vimesemwa na fulani, tafuta ukweli.
Kulikuwa na ukweli kwenye hilo, tafuta ukweli halafu utarudi hapa