Tuhamasishe saini 1,000,000 endapo Spika hataitisha Bunge la dharura!

DUH kweli nimechoka nishapata 1,000 mkuu yani nilikuwa nishaanza kazi kumbe KATIBA TENA? wenzetu LIBYA waliwezaje.. anyway hao 1m tukiingia mtaani tutaweza kumuondoa... naendelea na hii shughuli...
 
Kuna kila dalili hoja ya kutokuwa na imani na waziri mkuu ikazimwa. Silaha pekee itakayobaki ni kwa wabunge wetu kutahamasisha zipatikane saini zaidi ya milioni moja kutoka kwa wananchi ili kumshinikiza Rais kuvunja baraza la mawaziri na ikiwezekana kuvunja bunge!

Nashauri po pote walipo wana JF kuanzisha harakati hizi ili ukombozi upatikane haraka!

Freedom is coming now!
Tatizo sio Pinda , Tatizo ni Kikwete ambaye yupo tayari kuahirisha Safari kwa ajiri ya Kanumba lakini hawezi kufanya hivyo kwa Wananchi
 
wananchi ndio tuliopiga kura kuwaweka madarakani achilia mbali walivyochakachua kwa hiyo tunaweza kukataa kutawaliwa na wao nchi nzima kwa hiyo lengo hilo linawezekana.
 
NIA TUNAYO, SABABU TUNAYO, NA UWEZO TUNAO.
Naomba kufahamu ki-katiba, ni kifingu kipi cha sheria cha vote of no confidance kwa President, Speaker, and MP's?
 
Kuhamasisha hizo saini mil. 1, ni kujisaliti na kujinafiki wenyewe, kwanini tung'ang'anie njia zilizoshindwa tayari? Nani kakwambia mbwa mwenye kifaranga kinywani, anaweza kukiacha kwa maneno ya kumbembeleza? Jiwe tu! Demokrasia, Haki za binadamu, Dini zenu, na vinavyofanana, ni adui wakubwa wa UTU, ambao Mungu wetu ametujalia. NO MORE POLITICS! Mungu anaita sasa, calls his sons from exile, yu tayari kutupigania na kutushindia. Tuitike sasa, katika gharama ya kweli ya upendo kwa watoto wetu! Tena na tena...maisha ni furaha, kama haipo basi ni upuuzi.
 
Back
Top Bottom