TUFURAHIE PICHA: SHILATU MWENYEKITI na MASHA waukwaa U-CCM-NEC NYAMAGANA, MZA

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797


SATURDAY, SEPTEMBER 29, 2012

SHILATU AUKWAA UENYEKITI CCM NYAMAGANA, MASHA AUKWAA UJUMBE NEC TAIFA





Wakishow love Masha na Mabina.

Mkutano wa uchaguzi ulikuwa na hazina ya wapiga kura wa kutosha.

Wajumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa waliochaguliwa kutoka kulia ni Joseph kahungwa, Saimon Ntabi na Flora Magabe.

Eneo la mkutano huo wa uchaguzi.

Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiwa amebebwa juu kwa juu mara baada ya kutangazwa mshindi kwenye kinyang'anyiro cha ugombea nafasi hiyo.



Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akitoa shukurani zake kwa wanachama wenzake sambamba na salaam.

Mwenyekiti mpya wa CCM Nyamagana Raphael Shilatu akiteta na Bw. Mabina ambaye naye anatetea nafasi yake ya uenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza.

Ni fursa kuteta bustanini Mjumbe aliyeshinda nafasi NEC Lawrance Masha na Dr. Wangabo

 

Wow PASCAL MABINA kazeeka... aliwahi kuwa MBUNGE Kijana wa MWANZA MJINI enzi hizooo...

Angalia LAU MASHA... anawashika Mkono na kucheka na hao watu WADOGO; NGOJA ashike CHEO

anachokiwazia
NENDA kumsalimia OFISINI; Utasikia lisauti LIZITO TOKA OFISINI through the WALLS...

kama haujui Utadhani ni BOMU na utaanza kukimbia... HUYU JAMAA YETU ana DHARAU kama CCM kwa

WANANCHI WAKE...
 
Back
Top Bottom