Tufanyeje kuondoa hili tatizo?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Wanajf nimeona niilete hapa hii katuni ya Masoud Ali Al maaruf Masoud Kipanya ili tujadili njia stahiki za kuweza kupunguza kama si kumaliza tatizo la ajira kwa wasomi wazalendo.

Shukran kwa mchango wako.

kpleo.jpg
 
jana nilkuwa nambwambie shori mmoja msomi.....kuwa watz mbumbumbu akili zao zimeenda jau.....kusoma sio lazima uajiliwe....common guys.....elimu zenu za kuunga unga udsm hamuwezi kushindana na wakenya etal tafuteni njia mbadala muwe wajasiriamali....
 
Kwahiyo unataka mtu mwenye MBA aitumie MBA yake kuuza vocha?
 
Elimu ya msingi mpaka chuo kikuu+masters ni kumwandaa anayesoma awe muajiriwa bora (best employee) na sio kua mjasiliamali,kwaiyo usimshangae huyo anaetaka kujinyonga kisa kakosa kazi though ana masters.:eyeroll1:
 
Na bado hao wajao toka chuo kikuu cha kata ndo balaa litazidi zaidi na zaidi.
 
kusoma sio lazima uajiliwe..common guys...elimu zenu za kuunga unga udsm hamuwezi kushindana na wakenya etal tafuteni njia mbadala muwe wajasiriamali.
Yeah sio lazima kila mtu awe mwajiriwa..ila kama mbongo hajawekwa ofisini anaona ameshindwa!Sema ujasirimali nao sio wa kila mtu..kama mtu hayuko tayari kuhangaika zaidi ya aliyeajiriwa hawezi kua mjasirimali akafanikiwa!!Ofisi sio yako unaweza ukalemaa na bado mambo yakaenda..ila ukizembea kabiashara kako ndo basi!
 
Halafu kuna waziri mwenye dhamana ya ajira, hivi hembu nielewesheni kazi yake hasa ni nini kwenye hiki kipengere cha ajira?
 
Kwahiyo unataka mtu mwenye MBA aitumie MBA yake kuuza vocha?

Mo, Tumelemaa na kutaka ajira tu! There alot of oppotunities in our country, Huwa ninajisikia uchungu sana ninapoona msomi mzima miaka kibaoanatafuta kazi! Utasikia nimejishikiza tu mishahara mbuzi while we have everything it take to become somebody!!:disapointed::disapointed:
 
Halafu kuna waziri mwenye dhamana ya ajira, hivi hembu nielewesheni kazi yake hasa ni nini kwenye hiki kipengere cha ajira?

Mtaishia kugombania hivyo viajila vyake na kugombana tu, Use ur brain start something, huyo ana kazizake kibao lakini hazita kusaidia saaana.
 
Elimu ya msingi mpaka chuo kikuu+masters ni kumwandaa anayesoma awe muajiriwa bora (best employee) na sio kua mjasiliamali,kwaiyo usimshangae huyo anaetaka kujinyonga kisa kakosa kazi though ana masters.:eyeroll1:

Nina wasiwasi na usomaji wake, mtu ajinyonge simply hajaajiriwa? aajiliwe na nani? yeye ataajili lini?
 
Kwa bongo mtaji mkubwa wa kwanza ni kuajiriwa sababu elimu yetu haifundishi mtu kujiajiri mwenyewe
 
Ujasiriamali ni option nzuri kuliko kuajiriwa,uko huru,unaweza fanya maamuzi yako kwa wakati wako,unaweza fanya mabadiliko kwa haraka pale inapobidi na hata kama mwanzo ni mgumu,una mapato mazuri kuliko ajira......kuna tu tendency ya watu kuona kuajiriwa ni kila kitu au lazima uajiriwe tu baada ya kumaliza chuo,tunakokwenda hilo ni gumu.....wanaosoma ni wengi opportunities katika soko la ajira ni chache,ni lazima watu wa take risk na kujiamini they can do without formal employment....Nafikiri ndo maana kila chuo sasa wanafundisha ujasiriamali..
 
Yeh, Finest. hicho ndio kilicho tulemaza, concentration yote tunaipeleka kuajiliwa :disapointed:
 
Ujasiriamali ni option nzuri kuliko kuajiriwa,uko huru,unaweza fanya maamuzi yako kwa wakati wako,unaweza fanya mabadiliko kwa haraka pale inapobidi na hata kama mwanzo ni mgumu,una mapato mazuri kuliko ajira......kuna tu tendency ya watu kuona kuajiriwa ni kila kitu au lazima uajiriwe tu baada ya kumaliza chuo,tunakokwenda hilo ni gumu.....wanaosoma ni wengi opportunities katika soko la ajira ni chache,ni lazima watu wa take risk na kujiamini they can do without formal employment....Nafikiri ndo maana kila chuo sasa wanafundisha ujasiriamali..

Ndio sister, na hiki ni kitu tunachotakiwa kukitilia maanani sana, there a lot of opotunities in our county
 
Back
Top Bottom