Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
wataalam
napenda kujua kAm kuna mwenye detailed knowlnge ya Denial of service attack.
Nimekuwwa nafutial website ya wiki leaks na naona wanalamika kuwa website yao imekuwa attacked kwa DDOS.(Ditributed Denial of Service)na hivyo kufanya watumiaji wa marekani na ulaya wasiipate .
Though nime google na naendelea kudadisi naomba tuzidi kujadiliana nipate mwanga zaidi . For the sake of knowledge.

- Nikitaka kufanya DOS nahitaji information gani, tools gani , codes gani
- How do u attack a website with DOS?
- Kuna njia yeyote website inaweza kujikinda na DOS?