TUCTA What next?

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Baada ya mgomo kuyeyuka katika dk za mwisho, baada ya uhamasishaji na mabango kuandaliwa nini neno la kuondokea!
Zaidi ya taarifa za kusitishwa kwa mda mgomo wa wafanya kazi, TUCTA wamekuwa kimya, wanachama wanashauku ya kujua tusubiri kwa mda gani? Mazungumzo yanaendelea? Mpaka sasa nini mwelekeo?
Bila shaka litakuwa jambo jema kama wananchi watafahamishwa ?
 
Me binafsi nina wasiwasi sana katika mambo yanayohitaji ushirikiano hapa TZ. Watanzania ni wepesi sana kusalitiana, au kugeuza jambo kuwa na manufaa/faida zaidi upande wao kuliko lengo halisi.

Now viongozi wa TUCTA they have nearly all the control over this ... lets see what is next!
 
Back
Top Bottom