TUCTA: JK amechelewa kutamka nyongeza ya mishahara

Wafanyakazi sio wajinga kiasi anachofikiri ,matakwa yao ni pamoja na mambo mengine yanaoyeendana na haki zao ikiwemo pension,mafao baada ya kustaafu na tiba unapopata ajari kubwa kazini,kupunguziwa kodi kwenye mishahara yao na maboresho ya nyenzo za kutendea kazi na heshima ya mfanyakazi ilikuweza kupatiwa mikopo aweze kujijenga kabla hajaastafu,kwa hiyo yeye kutamka tuu kiwango na kuwaingizia tuu kwenye viwango vyao hakuna maana yeyote anafikiria hadithi za alinancha
Wafanyakazi hoyee
TUCTA juu juu,wembe ni ule ule
 
Tungekuwa na wakina Mgaya kama kumi nchi tungekuwa mbali sana kisiasa. Viongozi wenzake wamenywea wanamwachia yeye peke yake lakini ni mwanamme shoka. He calling a spade a spade. JK ni mlaghai na ni vizuri akaambiwa hivyo. Kama Magaya angeomba uongozi wowote wa kuchagaulliwa kisiasa ningempa kura yangu. Tutamkumbuka Mgaya miaka 5 ijayo ( as a man who belled the cat!) kama JK ataendelea kuwa Rais. Mgaya Oyee!!
 
katika bajeti ya mwaka huu Kima cha chini kiliongezwa hadi 135,000 lakini baada ya majadiliano kuendelea kimeongezwa tena hadi 260,000/- ingawa TUCTA walitaka kiwe 350,000/=


Kauli ya Kikwete pale Kirumba alisema wamepandisha mshahara wa kima cha chini kufikia 135,000/=, sijui hii ya 260,000/= umeitoa wapi Mwanajamii
 
Anazungumzia wafanyakazi wengine hanizungumzii mimi. Kwanza chama chetu cha wafanyakazi cha THTU kiligoma kishiliki kwenye mgomo, kwahiyo kauli hiyo haituhusu. KURA YANGU KWA KIKWETE.
Hivi yale madai yenu ya mafao ya baada ya kustaafu yalirekebishwa? Yaani hapa ndo ninapowachoka watanzania. Hao THTU hadi saa hizi wanagombana na serikali kuhusiana na mafao yao ya baada ya kustaafu. Na Kikwete kawajibu kwa kejeli za ajabu kupitia kwa katibu wake kiongozi bwana Luhanjo, yet hili lijamaa ambalo na leneyewe ni lanachama la THTU linadiriki kutamka hadharani kwamba litampigia kura Kikwete. Yaani hapa ndo ninapowachoka kabisa watanzania wenzangu. Haya bwana kila laheri, maana hii inaniambia kwamba Tanzania haiwezi kukombolewa kwa njia ya kupiga kura. Waache wenye nacho kwa sasa waendelee kuneemeka na wasionacho wazidi kumwomba Mungu. Sioni kabisa point kwamba hata mfanyakazi aliye chini ya THTU anamfagilia Kikwete.
 
Inanikumbusha ile taarabu "zege ukishalikoroga haliludi kuwa cement" naona JK kama angeweza yarudisha yale maneno naona ndo angekuwa na Peace of mind...............

Kweli JF kuna vichwa.
Mfikishieni ujumbe huu SLAA na MNYIKA iwe sehemu ya ujumbe kwa wananchi.

Kweli, ZEGE ALILIKOROGA SASA ANATAKA ARUDISHE SEMENTI?
 
katika bajeti ya mwaka huu Kima cha chini kiliongezwa hadi 135,000 lakini baada ya majadiliano kuendelea kimeongezwa tena hadi 260,000/- ingawa TUCTA walitaka kiwe 350,000/=

hii ya 260,000/- Mkuu umeitoa wapi? na wamejadili lini? nje ya bunge??? au umeota ndoto usiku na ukaja kuitundika hapa
 
Back
Top Bottom