tubadilishane simu samsung GT-s5233a

emkey

JF-Expert Member
Mar 15, 2011
728
136
nina simu ya samsung gt-s5233a, inafanya kazi betri inakaa cku nne. ina applic. zote muhimu. nimetumia miez nane tu. betr cku tatu hadii nne. screen tachi ni orgnal. ingia net utazame hiyo model. contact 0714 408238.
 
nina toshiba tg01.
Battery imechoka, inakaa kama siku tu
cheki kwenye neti utaona hiyo phone how it is.
Niliinunua mwaka 1 na nusu ulopita kwa dola 450.
period?
 
Mimi nina blackbery pearl ndogo touch screen nilinunua dola 600 utanipa hiyo plus dola 150!!
 
wakuu kama kweli kuna aliyetayari kati yenu anicall ili tumalizane. 0714-408238.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom