Tuamue leo kuwa na Taifa lenye kuongozwa na vijana ama wazee wabinafsi wasio na vision!

The Hunter

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
1,049
305
Kimsingi narejea hali halisi ambayo nchi yetu imekumbana nayo toka tulipopata uhuru
Vijana wengi wenye moyo walisahauliwa katika nafasi za kiuongozi na kimamlaka huku wakipoozwa na maneno ya vijana taifa la kesho,
Sisi wote ni mashuhuda nafasi nyingi toka ukuu wa wilaya mpaka ukatibu mkuu wa wizara, uwaziri na ukurugenzi hata uraisi umekuwa ni maalumu kwa wazee na wastaafu wa majeshi ama wateule wachache, kundi dogo la vijana lililopata kuambulia nafasi hizo either ni lile lenye undugu na ubini na watawala or nyumba ndogo za watawala.

Tukikumbuka matukio kama ya Bulyankulu ni wazee hawa hawa waliuza na kuruhusu wazawa kufukiwa kwenye mgodi ule.
Pale shinyanga pamebaki mashimo na mahandaki, vumbi na mabaki ya kemikali hii nikutokana na maamuzi ama ruhusa toka kwa wazee hawa, kama mtakumbuka uncle Benny alipozawadiwa ndama wa dhahabu nini kilitokea.

Kitalu C, na vingine vingi pale mererani vilipomilikishwa kwa wageni kipindi cha bwana Lyatonga akiwa waziri kilipelekea yote tunayoyaona Arusha leo, hakuna kazi vijana wamechoka, wamebaki kubeba mizigo ya watalii kama punda, na kuuza maziwa mjini.

Tukubali sasa yatosha, vijana wapewe nafasi ya kufanya maamuzi na kuongoza, tumeshaona mifano ya vijana ambao wamefanya ama wanafanya mambo makubwa kwenye majimbo yao mfano Ndugu Mnyika,ndugu Filikunjombe, ndugu Kabwe, ndugu Lema, ndugu Joseph Mbilinyi, ndugu Mdee Halima.

NB
Wazee wetu wachache kama kina Silaa, Mbowe, Lipumba, Marando, ambao wamejitahidi kuielimisha jamii na kuwapa nafasi vijana nyie ni nguzo yetu, tutawakumbuka na historia itawaenzi
 
Kimsingi
narejea hali halisi ambayo nchi yetu imekumbana
nayo toka tulipopata uhuru
Vijana wengi wenye moyo walisahauliwa katika nafasi za kiuongozi na
kimamlaka huku wakipoozwa na maneno ya vijana taifa la kesho, Sisi wote
ni mashuhuda nafasi nyingi toka ukuu wa wilaya mpaka ukatibu mkuu wa
wizara, uwaziri na ukurugenzi hata uraisi umekuwa ni maalumu kwa wazee
na wastaafu wa majeshi ama wateule wachache, kundi dogo la vijana
lililopata kuambulia nafasi hizo either ni lile lenye undugu na ubini
na watawala or nyumba ndogo za watawala.
Tukikumbuka matukio kama ya Bulyankulu ni wazee hawa hawa waliuza na
kuruhusu wazawa kufukiwa kwenye mgodi ule.
Pale shinyanga pamebaki mashimo na mahandaki, vumbi na mabaki ya
kemikali hii nikutokana na maamuzi ama ruhusa toka kwa wazee hawa, kama
mtakumbuka uncle Benny alipozawadiwa ndama wa dhahabu nini kilitokea.
Kitalu C, na vingine vingi pale mererani vilipomilikishwa kwa wageni
kipindi cha bwana Lyatonga akiwa waziri kilipelekea yote tunayoyaona
Arusha leo, hakuna kazi vijana wamechoka, wamebaki kubeba mizigo ya
watalii kama punda, na kuuza maziwa mjini.
Tukubali sasa yatosha, vijana wapewe nafasi ya kufanya maamuzi na
kuongoza, tumeshaona mifano ya vijana ambao wamefanya ama wanafanya
mambo makubwa kwenye majimbo yao mfano Ndugu Mnyika,ndugu Filikunjombe,
ndugu Kabwe, ndugu Lema, ndugu Joseph Mbilinyi, ndugu Mdee Halima.
NB
Wazee wetu wachache kama kina Silaa, Mbowe, Lipumba, Marando, ambao
wamejitahidi kuielimisha jamii na kuwapa nafasi vijana nyie ni nguzo
yetu, tutawakumbuka na historia itawaenzi

hujafanya research ya kutosha. hao unaowaona viongozi wazee leo walianza uongozi wakiwa vijana. mfano JK, Lowasa, Lukuvi kutaja wachache. ma DC vijana ni wengi kama Nape, Shigela walianza na u DC.
 
Safi. nakupa tano kwa namna ulivyojitahidi kutokumtaja ZITTO. Umejaribu, umeweza, songambele. ila sielewi kwanini umefanya hivi. ntakufuatilia uko tuendakp.

Kimsingi nakubaliana na wewe asilimia nyingi tu, lakini tukumbuke kuwa hata vijana wa sasa umri wao hausimami, na wazee wa leo walikuwa vijana wa jana au juzi. Namkumbuka kaka yangu ambaye kunapindi alikuwa mwanamichezo alikuwa analalamika kwamba taifa limewasahu vijana, hivi sasa ni mzee.

Uko tunakoelekea definition ya vijana tutaipanua zaidi na ni lazima tu act. ama sivyo kuna hatari moto huu wa kutaka vijana kuchukua nchi kuwa ni propaganda ambazo hazijawahi kukoma tangu mwanzo wa dunia hii na hazijawahi kumaterialize.
 
Safi.
nakupa tano kwa namna ulivyojitahidi kutokumtaja ZITTO. Umejaribu,
umeweza, songambele. ila sielewi kwanini umefanya hivi. ntakufuatilia
uko tuendakp.
Kimsingi nakubaliana na wewe asilimia nyingi tu, lakini tukumbuke kuwa
hata vijana wa sasa umri wao hausimami, na wazee wa leo walikuwa vijana
wa jana au juzi. Namkumbuka kaka yangu ambaye kunapindi alikuwa
mwanamichezo alikuwa analalamika kwamba taifa limewasahu vijana, hivi
sasa ni mzee.
Uko tunakoelekea definition ya vijana tutaipanua zaidi na ni lazima tu
act. ama sivyo kuna hatari moto huu wa kutaka vijana kuchukua nchi kuwa
ni propaganda ambazo hazijawahi kukoma tangu mwanzo wa dunia hii na
hazijawahi kumaterialize.

Nchimbi, Magesa Mulongo, Seif Khatib ni mifano ya walioanza uongozi wakiwa vijana.
 
hujafanya research ya kutosha. hao unaowaona viongozi wazee leo walianza uongozi wakiwa vijana. mfano JK, Lowasa, Lukuvi kutaja wachache. ma DC vijana ni wengi kama Nape, Shigela walianza na u DC.

Walikuwa vijana je walionyesha uzalendo? Ama fikra zao zilibaki kuwa mgando kama hawa wazee tu
 
Safi. nakupa tano kwa namna ulivyojitahidi kutokumtaja ZITTO. Umejaribu, umeweza, songambele. ila sielewi kwanini umefanya hivi. ntakufuatilia uko tuendakp.

Kimsingi nakubaliana na wewe asilimia nyingi tu, lakini tukumbuke kuwa hata vijana wa sasa umri wao hausimami, na wazee wa leo walikuwa vijana wa jana au juzi. Namkumbuka kaka yangu ambaye kunapindi alikuwa mwanamichezo alikuwa analalamika kwamba taifa limewasahu vijana, hivi sasa ni mzee.

Uko tunakoelekea definition ya vijana tutaipanua zaidi na ni lazima tu act. ama sivyo kuna hatari moto huu wa kutaka vijana kuchukua nchi kuwa ni propaganda ambazo hazijawahi kukoma tangu mwanzo wa dunia hii na hazijawahi kumaterialize.

Mkuu embu fanya kurudia kuisoma upya hiyo post hapo juu uone kama hajamtaja mnafiki zitto
 
Mkuu embu fanya kurudia kuisoma upya hiyo post hapo juu uone kama hajamtaja mnafiki zitto

Hahahahaha Kamtaja aisee, Ile Ndugu aliyoianzishia mbele ya Kabwe ndio imenichanganya, hata Zitto mwenyewe akisoma anaweza asigundue kama katajwa.

Unajua tatizo ZITTO ni huku kuandamana kwake na Magamba mimi binafsi kunanichanganya sana, yeye akiulizwa anasema anafanya siasa za kistaraabu, kasahau ukikaa na waridi utanukia waridi.

samahani kwa kwenda nje ya hoja, naomba nimseme ndugu Kabwe kidogo,
Zitto anatakiwa ajue kwamba kama ni swala la mvuto wa kisiasa hata NAPE,Mwinyi,Sioi,Ridhiwan,Malisa,Masha,Ngeleja,Malima wanao pia, lakini tunawakataa sababu ya UCCM wao. CCM is pathetic na wakati tunaichinja hatujali kilio chao cha huzuni tunachinja hivyo hivyo.

Cha kustaajabisha kesho unaona yuko nao, tena anashiriki kweli kweli kudesign projects zao.

I am fed up with this. He has to change or we will change
 
lusinde,chanda,shigella,malisa,millya,ridhiwani nape wote ni vijana lakini akili zao ni kama wassira,.vijana wengine wa upinzani kama kafulila na kabwe ni popo kama mzee shibuda..ujana sio kigezo kabisa,kuna wazee kama kitine na lwaitama wapo vizuri upstairs na wazalendo kuliko vijana 100 combined
 
Back
Top Bottom