Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,817
- 7,000
Leo ngoja niweke ushahidi wangu binafsi.
Kuna mahala kwenye mijadala yangu humu niliwahi kusema nina mke mmoja na michepuko watatu ila watu wakapinga. Lakini ukiachana na michepuko hao watatu wapo wengine wasio rasmi ambao kila nikikanyaga mikoa husika nachagua mmoja aje kutoa huduma. Hapo haujapigia wale barmaids ambao nikilewa nikamtamani basi analipiwa counter naondoka nae.
Kuna madhara makubwa sana ya kisaikolojia ninayoyapata. Yaani imefikia hatua kiasi kwamba mwanamke hata awe mzuri vipi, nikishalala nae mara moja tu namuona kama katuni, yaan ghafla namchukia tu, na simtamani tena.
Hali hii imefikia hadi kwa mke wangu alionizalia watoto wanaotambulika ni wanangu. Yaan nikiwa nae sina kabisa hamu nae. Hapa pemyewe weekend inaisha nipo mkoa iliopo familia yangu lakini weekend nzima sikuweza kukaa nyumbani, nina lodge hapa mjini nimejifungia na kitoto toka ijumaa jioni kesho ndo nitamtimua, na hapa nimeshaishiwa hamu nae yaan natamani nimfukuze sasahivi.
Wakuu tupunguzeni uzinzi, una madhara sana kisaikolojia ukiachia kiafya, miaka ya zamani sikua hivi kabisa. Uzinzi ukikutana na hela na pombe ujue umeingia jehanam ya duniani, na kuchomoka sio rahisi.