Tuache masihara usiombe mwanamke akutongoze utajuta kuzaliwa, wanajua kutiririka hao

Wadau Niko Zangu Arusha Kikazi Yapata Wiki Sasa Nimekutana Dada Mmoja Ni Mfanyakazi Kampuni X Ambayo Nimefikia Yaani Kanizoea Kwa Muda Mfupi Tu,

Sasa Jana Aliniomba Namba Yangu Ya Simu Wala Sikutaka Hiyana Nikampatia Bila Shida Nikajua Tu Kwakuwa Ni Mfanyakazi Mwenzangu Atanipa Ramani Za Huku Maana Mie Mgeni Wa Jiji La Arusha

Sasa Shughuri Ikaanza Mida Usiku Kila Muda Meseji Mara 'Uko Wapi Baby Naomba Tuonane Ni Muhimu. Nikaguna Kuona Hiyo Text Ikabidi Nimpigie, akanambia Tukutane Mahala Aisee Kilichonikuta Ni Hatare

Mtoto Akaanza Kunifungukia Vibaya Mno Nikabaki Naduwaa Tu Kweli Kuna Wanawake Kiboko Aisee Mpaka Dakika Hii Sijamjibu
Ungekuwa unaeleza kuwa umeshasafisha shaft tayari na uko naye mbona wanaume wengine mko wanyanyasaji sana kwa wanawake. Ngoja ufe uzaliwe upya ukiwa mwanamke ndiyo uone jinsi genye zinavyowatesa warembo waliokosa hiyo kitu. Haaaahaaaahaaaa. Arusha A town.
 
mkuu unaniumbua ujue
 
Ataacha vipi kutiririka kwa jinsi maisha yalivyo magumu!!!!
a2fec6df46ea1446edcf5d4e35d84515.jpg
 
Aisee ..ila sawa tu usimfikirie.vibaya. msikilizane muelewane na ijulikane is it for fun for.sex only or future husb & wife
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom