TTCL wakiwa makini n kuacha siasa.na kujikita kisawa sawa kama Telecom Service privider akaofa Huduma jinsi alivyo na(capacity+infrastractures) baada ya miaka 2. kampuni 2 au 3 kati ya zinazotoa huduma za mawasiliano hapa nchini zitakufa milele..hiyo Trillioni 1.7 ni pesa ambayo TTCL kama itakuja fanya kazi kama inavyotakiwa zinarudi in two years.Huyu Omary Nundu bado yupoga tu, ma CCM bwana hawawezi maisha tofauti na kujipachika kwenye taasisi za serikali na kuiba iba.
TZS 1.7 Trillion kwa ajiri ya kuboresha huduma za simu za mezani. Nani anatumia simu za mezani siku hizi? Yaani tutumie 1.7 Trillion kwenye obsolete life style? ndio ma strategists wa TTCL hawa?
Mi nilidhani wanaomba hela kwa ajiri ya 5G Technology?
Kama TTCL ina mradi ambao wanaamini utawalipa waende bank wakope hiyo 1.7 trillion wafanye mradi faida irudi walipe deni.Kwani hawa ttcl wanataka trillioni 1.7 wanataka kulunch satelite yao huko angani au maana sijaelewa bado..
Kama ni kwa ajili ya satelite swa serikali iwatafutie hiyo hela ila kama ni tofauti watafute wenyewe..
TTCL Bwana sijajua kama kuna wahasibu wenye CPA
Tunahitaji buniness oriented mind na sio 'makada' kwenye hizi ofisi kuweza kushindana na TiGO, Voda ama Airtel, bahati mbaya kwenye karne hii ya kasi ya mawasiliano bado taasisi ambayo ingeweza kuwa monopoly kwenye hii sekta inasubiri huruma ya serikali.
Nahisi tunatatizo pahala na sio kwa sababu ya kuwa au kutokuwa na CPA.
TTCL wakiwa makini n kuacha siasa.na kujikita kisawa sawa kama Telecom Service privider akaofa Huduma jinsi alivyo na(capacity+infrastractures) baada ya miaka 2. kampuni 2 au 3 kati ya zinazotoa huduma za mawasiliano hapa nchini zitakufa milele..hiyo Trillioni 1.7 ni pesa ambayo TTCL kama itakuja fanya kazi kama inavyotakiwa zinarudi in two years.
Sidhani kama tunawaza sawasawa! wangeomba kwa ajili ya 5G wangeeleweka, kama wanahitaji kuongezewa mtaji siwauze hisa DSE tatizo liko wapi? au haka kazee kanataka kupiga za mwishomwisho baada ya kuchengana na hela za bagamoyo portHuyu Omary Nundu bado yupoga tu, ma CCM bwana hawawezi maisha tofauti na kujipachika kwenye taasisi za serikali na kuiba iba.
TZS 1.7 Trillion kwa ajiri ya kuboresha huduma za simu za mezani. Nani anatumia simu za mezani siku hizi? Yaani tutumie 1.7 Trillion kwenye obsolete life style? ndio ma strategists wa TTCL hawa?
Mi nilidhani wanaomba hela kwa ajiri ya 5G Technology?
1.7t wametoa 2.1bSi wametoa gawio la 2.1bil sasa wanashindwaje 1.7
Hilo gawio linatolewa kisheria sio hisani yao...sasa hapo ni busara ya serikali kutochukua hilo gawio na kuwaambia wa invest moreWametoa gawio halafu wanaomba pesa!!? Kwa nini wasitumie hilo gawio kujiendesha mpaka watakapopata faida kisha watowe gawio??? Au taratibu za Kutoa gawio zikoje jamani?
,,,,halafu imetoa gawio la mabilioni ya shilingi serikalini....nchi hii haiishiwi vituko vinavyosisimua na kuchukiza papo hapo.TTCL yaomba Sh1.7 trilioni kuboresha huduma zake
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Omary Nundu amesema shirika hilo linahitaji Sh1.77trilioni kuboresha huduma zake za simu za mkononi na mezani.
Nundu ametoa kauli hiyo leo Jumanne Mei 21, 2019 katika hafla ya shirika hilo kutoa gawio la shilingi 2.1bilioni kwa Serikali iliyokwenda sambamba na uzinduzi wa awamu ya pili ya huduma ya video conference.
Source: Mwananchi
Ukitaka vichekesho zaidi bonyeza *nyumbanikumenoga# then piga.
Tunasubiri gawio la ATCL ili tucheke zaidi.
Unaijua trillion wewe walizoomba karibu trillion 2 ni zaidi ya kuanzisha shirika jipya.kwani gawio ni Tsh ngapi na kilichoombwa ni Tsh ngapi?
huu unaitwa ushamba
Gawio ni haki ya serikali, kama wanataka kuongeza mtaji wauze hisa katika soko la DSE na sio kuchukua hela zetu za matibabu kusomesha watoto na posho za walimu na manesi.Hilo gawio linatolewa kisheria sio hisani yao...sasa hapo ni busara ya serikali kutochukua hilo gawio na kuwaambia wa invest more
Upumbavu ni pamoja na kutokutumia rasilimali zinazokuzunguka kikamilifu, hasa rasilimali fedha, muda na watu.
Huduma za TTCL ni mbovu sana, SMS characters mwisho ni 150/ SMS ukizidisha msg haiendi.
Mitambo yao most of the time IPO offline.
Sitashangaa kusikia hata hilo gawiwo wamekopa sehemu kwa tiba ili tu kumfurahisha Rais
Mbona Tanesco ipo peke yake lakini hakuna Tofauti na TTCL? Acheni kutafuta sababu, mchawi ni CCM.Sasa kama kulikuwa na viongozi wa serikali waliofanya juu chini kuiua TTCL ili makampuni ya nje waliyoyaleta yafanikiwe, unategemea itashindana vipi?
Maajabu hayaishi