figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
chadema siku ya mwisho musinisahau kwenye ufalme wenu.mia
Ni kama Sindima likipita uswahilini, watu kibao wanaunga tela kuburudika tu. Ndio maana sehemu kubwa ya halaiki hiyo ni CCM wako pembeni wana mdadi wa kujiunga na Oya Oya. Na katikati ya msafara wa hao mamba kuna kenge humo ambao hawatapiga kura kwa CHADEMA.
Mkuu upo wapi kwenye sayari hii?Jamani, hivi MAGAMBA ndio nini? Au ndo THI-THI-EM? nini!
Watasomba watu zenji na bagamoyo kwa mafuso wapelekwe igunga, bahti yao mbaya wameiua TRC-reli ya kati wangeitumia kupeleka washingiliaji wa vitenge na kofiaHivi CCM ni lini wanazindua kampen huko, manake kwa hivi nana watavuna aibu kubwa sana. Ngoja tungoje!!
Walizani wananchi wa igunga ni maiti kama wa enzi za TANU.
Naona kuna magamba pembeni waushangaa pepoooooz pawaaaaaaaa.
Naona kuna magamba pembeni waushangaa pepoooooz pawaaaaaaaa.
kama wanawaza kujoin the pipoooz au waendelee kuvaa kofia na vitenge vya magamba
Wana bahati ya mtende kuvaa kofia na fulana mara mbili kwa kipindi cha miaka mitano thanks to Rostam boycot.Mkuu yaani hata hao waliovaa njano na kijani ni Chadema ni njaa tu ndo zinawasumbua kuwafanya wasiwe na msimamo,ila wanasahau furaha ya mwezi mmoja kuwa matatizo ya Miaka minne. .
Hao CCM wanaoonekana wanatia hata huruma maskini.Mwenye macho haambiwi,ona.
Magamba washuhudia kimbunga cha Chadema.
Mafilili, Ritz, Nape na Rejao wachanganyikiwa.
Hawaamini wanachokishuhudia.
Mkapa, Rostamu na Kafumu, wapata kiwewe.
Sharif, Mtatiro na Mahona, matumbo moto.
Harusi na Uchaguzi, wapi na wapi !