kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,319
- 12,622
Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye mechi ya Simba vs Al-Ahly, Simba ilicheza vizuri kuliko mamelods na wydad kwenye mechi Ile ya finali. Habari hii ilimfurahisha sana mwamba try again kiasi Cha kuyaamini maneno ya Infantino kuwa Simba Iko vyedi kuliko mamelods na wydad kiuchezaji hadi kuja kuwahadithia wanasimba.
Hivi ni kweli Infantino alichomwambia try again au alimfariji kwa kumdhihaki ? Ni kweli Simba Iko vizuri kuliko mamelods? Try again anataka kuwaambia nini wanasimba Yao?
Hivi ni kweli Infantino alichomwambia try again au alimfariji kwa kumdhihaki ? Ni kweli Simba Iko vizuri kuliko mamelods? Try again anataka kuwaambia nini wanasimba Yao?