Kamba ya Try Again Kwa Wanasimba

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,056
49,743
Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini Afrika Kusini aliambiwa na Rais wa FIFA, Gianni Infantino kuwa Simba inacheza vizuri kuliko Mamelodi Sundowns na Wydad AC.
 
Report hiyo kamba kwa Gianni Infantino ili Try Again afungiwe kwa kusambaza kamba acha kubwabwaja hapa eti kamba kamba pasipo kuchukua hatua.
Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini Afrika Kusini aliambiwa na Rais wa FIFA, Gianni Infantino kuwa Simba inacheza vizuri kuliko Mamelodi Sundowns na Wydad AC.
 
Tukisema Viongozi wa Simba ndiyo tatizo nadhani wenyewe mnajionea.Bado watu hawajasahau tulivyokandwa goli 5 ,anakuja na ngonjera za kitoto.Au ndiyo kweli Simba Ina mashabiki mandazi/mbumbu?
Hayo maneno aliyoambiwa na rais wa FIFa ilikuwa kejeli.Kwa timu ipi na mpira upi tuliokuwa nao kuwazidi wydad na mamelod?hadi atusifie hivyo.
Na Kwa kiongozi asingepaswa kusema hayo hadharani
 
Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini Afrika Kusini aliambiwa na Rais wa FIFA, Gianni Infantino kuwa Simba inacheza vizuri kuliko Mamelodi Sundowns na Wydad AC.
.mmm yuko sahihi ndiyo maana wamesajili wachezaji chini ya kiwango ukiwa na zatizo la uti wa mgongo vitu vilivyo nyooka unaviona km vimepinda ina maana kilichopinda kitaonekana kimenyooka
 
Back
Top Bottom